TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Hiyo ni kauli ya Bimkubwa wakati akiwa kwenye uzinduzi wa SGR njia ya Dar kwenda Dodoma mapema leo.
Amesema ana taarifa kwamba mzee Abood alishapunguza baadhi ya mabasi kwa njia hiyo ila serikali itamsadia asiwe na hofu.
NB; Kilichonishangaza mimi ndg TODAYS ni bimkubwa kumuita mzee Abood "mdogo wangu" nadhani labda ukubwa huo ni kikazi au kisiasa, vinginevyo kiumri mzee aboud ni mkubwa zaidi ya maza!.