lamekiAgustino
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 481
- 1,318
mdogoangu acha ubishiKwani mama naye amejuaje? Kwani yeye ndo kamzaa Abood?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mdogoangu acha ubishiKwani mama naye amejuaje? Kwani yeye ndo kamzaa Abood?
Achukue njis ya Mwanza Rwanda Kigali na Mwanza Dar haina magari. Rais yuko sahihi apeleke kwingine nchi kubwa hii.Safari moja ya SGR ni zaidi ya mabasi 10. Ni lazima wayumbe, usipuuze. Labda waihujumu huko mbeleni. Kukiwa na safari 3 au 4 za treni kwa Siku, zitaondoa mahitaji yote ya muda(yaani wataotoa hoja ya kuwahi)
wawape mendo kasi pia waendesheAchukue njis ya Mwanza Rwanda Kigali na Mwanza Dar haina magari. Rais yuko sahihi apeleke kwingine nchi kubwa hii.
akili za kifakeni sana hiziUkishakuwa raisi ww ni mkubwa kwa wote