Ukishakuwa raisi ww ni mkubwa kwa woteHiyo ni kauli ya Bimkubwa wakati akiwa kwenye uzinduzi wa SGR njia ya Dar kwenda Dodoma mapema leo.
Amesema ana taarifa kwamba mzee Abood alishapunguza baadgi ya manasi kwa njia hiyo ila serikali itamsadia asiwe na hofu.
NB; Kilichonishangaza mimi ndg TODAYS ni bimkubwa kumuita mzee Abood "mdogo wangu" nadhani labda ukubwa huo ni kikazi au kisiasa, vinginevyo kiumri mzee aboud ni mkubwa zaidi ya maza!.
Mama ana lugha ya kistaarabu sanaa na kingwana angekua yule jamaa pasingetosha hapo.Hiyo ni kauli ya Bimkubwa wakati akiwa kwenye uzinduzi wa SGR njia ya Dar kwenda Dodoma mapema leo.
Amesema ana taarifa kwamba mzee Abood alishapunguza baadgi ya manasi kwa njia hiyo ila serikali itamsadia asiwe na hofu.
NB; Kilichonishangaza mimi ndg TODAYS ni bimkubwa kumuita mzee Abood "mdogo wangu" nadhani labda ukubwa huo ni kikazi au kisiasa, vinginevyo kiumri mzee aboud ni mkubwa zaidi ya maza!.
Bado mapema mno kusema haya.akiyapiga daladala Kutoka Chanika-mbezi na chanikaa-bunju, Mbezi-kariakoo na mbezi-posta itakuwa vyema zaidi. Huko Moro na Dom pombe imeshaingia nzi
Au aboreshe zaidi huduma kwa wateja..Ni mapema sana kutoa kauli kama hivi. Usimamizi wa miradi kwetu bado mdogo sana. Bila hujuma licha ya uwepo wa atcl bado fastjet wangekuwa wananoperate.
Ningekuwa Abood nashusha nauli halafu tuone game inaendaje.
Kwani mama naye amejuaje? Kwani yeye ndo kamzaa Abood?umejuaje au wewe umemzaa abood
Safari moja ya SGR ni zaidi ya mabasi 10. Ni lazima wayumbe, usipuuze. Labda waihujumu huko mbeleni. Kukiwa na safari 3 au 4 za treni kwa Siku, zitaondoa mahitaji yote ya muda(yaani wataotoa hoja ya kuwahi)abiria wa moro ni wengi sana wanaondoka kila dakika,SGR haiwezi kuwatosha wote