Yap na huwenda kama pangelikuwa na hizo option basi I truly believe Kuna kundi kubwa la binaadamu wange kataa kuja , cause Dunia imejaa uovu mwingi kuliko Mema , Suffering ni kubwa sana we're really suffering a lot , At end of the day tuna kufa na hata tilicho kuwa tuna kupigania hakionekani ni ujinga mtupuHii ni kwa sababu atuja request au ku apply form zozote kuja hapa duniani.. ni tumejikuta tu
Uumbwe ng’ombe then ulishwe majani binaadamu wanufaike na maziwa alaf mwisho wa siku uchinjwe kwa maumivu makali ufe baadhi ya wachache wafaidike na nyama.. kweli kabsa cha maana kaburi tu hapa dunianiYap na huwenda kama pangelikuwa na hizo option basi I truly believe Kuna kundi kubwa la binaadamu wange kataa kuja , cause Dunia imejaa uovu mwingi kuliko Mema , Suffering ni kubwa sana we're really suffering a lot , At end of the day tuna kufa na hata tilicho kuwa tuna kupigania hakionekani ni ujinga mtupu
Period
💯📌Uumbwe ng’ombe then ulishwe majani binaadamu wanufaike na maziwa alaf mwisho wa siku uchinjwe kwa maumivu makali ufe baadhi ya wachache wafaidike na nyama.. kweli kabsa cha maana kaburi tu hapa duniani
Nimefanyaje 😁Expert member 😄
Bora hiyo abortion kama waliona hawapo tayaliNimetembea nchi moja hivi.. na nikajuana na watu baadhi katika hao nilikuwa na jirani yangu mmoja hivi alipataga ujauzito na mke wake
Baada ya mda wakaangalia ujauzito maendeleo yake kwa doctor, ikajulikana mtoto akizaliwa atakuwa na ulemavu.. kwa ushahuri wa doctor wakalazimika watoe ule ujauzito kutokana na kiumbe kilichotakiwa kizaliwe baada ya mimba kitakuwa na ulemavu na kuja kutesema
Lakini bado niliona sio sawa.. wangeacha azaliwe tu , binaadamu tupo tu na M/Mungu au nature au vyovyote unavyoamini.. ndio inajua zaid kuhusu sisi
Kwenye mambo hayo 😄Nimefanyaje 😁
Black and white 😁Kwenye mambo hayo 😄
Ume toa definition imenyooka kabisa
Nakukubali sikukosea Kuna niii ....... 😁Black and white 😁
Ngoja nikuite sehem uniambie vizuri hapa tutaharibu uziNakukubali sikukosea Kuna niii ....... 😁
VizuriBadala ya kuchokonoa mimba ni bora ufanye mpango madhubuti usishike mimba mwisho ukaishia kutoa na kuhatarisha usalama wako mwenyewe
Lakini kuliko kuzaa na mtu asiefaa kheri abortion aisee
Kwa changamoto za kiafya ni sahihi kutoa tofauti na hapo majuto ya baadae hayaelezeki.
Duuuh bro umeenda mbaliUumbwe ng’ombe then ulishwe majani binaadamu wanufaike na maziwa alaf mwisho wa siku uchinjwe kwa maumivu makali ufe baadhi ya wachache wafaidike na nyama.. kweli kabsa cha maana kaburi tu hapa duniani
Na nusu
🤣🤣🤣Mada ngumu sana hii. Si ya kuingia kichwa kichwa.
🤣🤣🤣🤣Ngoja nikuite sehem uniambie vizuri hapa tutaharibu uzi
Ngoja nikuite sehem uniambie vizuri hapa tutaharibu uzi
PiruuuuBlack and white 😁
Eksipati membaNimefanyaje 😁