Hiyo mimba iliingia kwa kubakwa??? Si jambo la busara kutoa mimba ila kama huyo mtu alibakwa ili aweze kuitunza hiyo mimba naomba apelekwe kwa daktari wa masuala ya akili sio psychiatrist hapana psychologist atasaidiwa... Nadhani tusimlaumu sana na pia akawaone viongozi wa dini watamsaidia kuweza kuikubali mimba hiyo..
Je ni mtoto wa shule au ana wazazi wakali? na mimba kaipata bila kuipangia??? Inahitajika wazazi wake wakutanishwe na wazee wenye hekima ili awaeleweshe namna ya kumsaupport huyo binti ili asitoe mimba
Bila hayo kufanyika, kitakacho tokea atafanya namna yoyote na kujaribu kutoa hiyo mimba,, Mtoto wa miezi 4 ameshaumbika akakamilika na akitoa kwanza itasumbua pili akioneshwa kiumbe alichokitoa na daktari itamharibu akili sana
Tendo la kutoa mimba huwa lina athiri sana akili kuliko unavyodhania.
All the best