Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona kizungumkutiHabari ni kuwa wake wa marais waliowahi kuongoza TZ na ZNZ wamealikwa kesho na wamegharamiwa
lakini cha ajabu kwenye mwaliko huo hatokuwepo mke wa Marehem Idrissa Abdul Wakil na wala hatokuwepo Mzee Aboud Jumbe
kulikoni?
Mkuu hii umeitoa wapi ,katika mada zilizo ibuka hivi karibuni baada ya kifo cha Jumbe hakuna hata moja iliyotoa mawazo kama haya ,utaskia tu ohh Nyerere kammvua Jumbe nyadhifa zake zote na kumuweka Kizuizini ,mara oh Maalim Seif ndiye aliyepeleka habari za Jumbe na serikali tatu kwa NyerereHapana hakutaka serikali Tatu, bali ni masariti pia ni mchonganishi, alienda UK aka print hela za Zanzibar, bendera nk, kisha akamwambia waziri mkuu wa UK kipindi kile Kuwa Bara wanampango wa kuivamia Zanzibar, aliporudi huku, akamwambia Nyerere Kuwa kuna kundi la wanajeshi wa nje wamepanga kuivamia Zanzibar kwahiyo anaomba ulinzi, ndiyo Nyerere alipeleka wanajeshi kwa wingi na vifaru kuilinda Zanzibar, Jumbe akapiga simu UK tena kuwaambia Bara imeivamia Zanzibar kama alivyowaambia, baada ya mawasiriano kati ya Nyerere na PM wa UK ndiyo ikaonekana Jumbe mchonganishi, wakamuambia ajihuzuru kwa heshima yake, ila kwa Sasa afya yake siyo imara amezeeka sana, pia haoni.
Ni kwa sababu ameondoka....ndiyo yanaibuka haya...si-umeona Na seif kaibuka kukanusha...baada ya muhusika kuondoka...!Mkuu hii umeitoa wapi ,katika mada zilizo ibuka hivi karibuni baada ya kifo cha Jumbe hakuna hata moja iliyotoa mawazo kama haya ,utaskia tu ohh Nyerere kammvua Jumbe nyadhifa zake zote na kumuweka Kizuizini ,mara oh Maalim Seif ndiye aliyepeleka habari za Jumbe na serikali tatu kwa Nyerere
Ningependa kujua zaidi juu ya hili la kutengeneza pesa na uchonganishi
Hapana Seif alikanusha siku nyingi sio juzi baada ya muhusika kuondokaNi kwa sababu ameondoka....ndiyo yanaibuka haya...si-umeona Na seif kaibuka kukanusha...baada ya muhusika kuondoka...!
Ahsante kwa sahihisho...! Kanusho la seif nililiona kwa mara ya kwanza hapa jukwaani jana. Kumradhi Seif.Hapana Seif alikanusha siku nyingi sio juzi baada ya muhusika kuondoka