Aboud Jumbe na Mke wa Idris Abdul Wakil hajaalikwa

Habari ni kuwa wake wa marais waliowahi kuongoza TZ na ZNZ wamealikwa kesho na wamegharamiwa

lakini cha ajabu kwenye mwaliko huo hatokuwepo mke wa Marehem Idrissa Abdul Wakil na wala hatokuwepo Mzee Aboud Jumbe

kulikoni?
mbona kizungumkuti
 
Mkuu hii umeitoa wapi ,katika mada zilizo ibuka hivi karibuni baada ya kifo cha Jumbe hakuna hata moja iliyotoa mawazo kama haya ,utaskia tu ohh Nyerere kammvua Jumbe nyadhifa zake zote na kumuweka Kizuizini ,mara oh Maalim Seif ndiye aliyepeleka habari za Jumbe na serikali tatu kwa Nyerere

Ningependa kujua zaidi juu ya hili la kutengeneza pesa na uchonganishi
 
Ni kwa sababu ameondoka....ndiyo yanaibuka haya...si-umeona Na seif kaibuka kukanusha...baada ya muhusika kuondoka...!
 
Ni kwa sababu ameondoka....ndiyo yanaibuka haya...si-umeona Na seif kaibuka kukanusha...baada ya muhusika kuondoka...!
Hapana Seif alikanusha siku nyingi sio juzi baada ya muhusika kuondoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…