Pretty-baby
Member
- Jan 25, 2012
- 56
- 7
habarini, hivi inakuaje mtu anapenda kiasi kwamba akiachwa anajiua? na kwanini mapenzi yanatesa watu kiasi hicho?ninaombeni ufafanuzi great thinkers!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii anajuwa vizuri Lizzy Baby.
usiumize kichwa chako kufikiria sana, huu sio mtihani.................... kuna siku mtu alinichekesha sana hapa alijibu watu wanaachwa, wanaacha, wanaachana, wanaachanishwa, lakini hawajiui............ huyo wa kujiua alikuwa anatafuta sababu tuDoc we na Kaunga embu toeni mawazo yenu bana. Mi bado nafikiria.
usiumize kichwa chako kufikiria sana, huu sio mtihani.................... kuna siku mtu alinichekesha sana hapa alijibu watu wanaachwa, wanaacha, wanaachana, wanaachanishwa, lakini hawajiui............ huyo wa kujiua alikuwa anatafuta sababu tu