Abdul Ghafur
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 610
- 749
Katika muendelezo wetu wa kubuni vifaa vya ujenzi vya kipekee vyenye ubora wa hali ya juu na gharama nafuu, sasa tuna pavers paving bloks za kipekee Tanzania (kama sio duniani).
Pavers zetu hizi tunaziita Abraar Massage Stepping Stones. Kwanza jioneneezi zilivyo, halafu tutaendelea kuwaelezea ubora wake, unafuu wa gharama na faida zake kiafya:
Kuna video clip ambayo hapa haipandi, kwa ataependa kuiona anitumie WhatsApp 0625249605.