Tetesi: Abraham Moris wa Simba asaini mkataba wa awali Yanga

Amani ni tunu yetu basi tuilinde kwa wivu mkubwa sana
Kuzungumza Amani bila Haki ni UKASUKU. Je wewe ni kasuku?
Wale walipigwa risasi, kutekwa na kubakwa huku wengine wakiswekwa mahabusu kwa kesi za kubumba siyo binadamu zaidi Yako?
Acha uchawa na upeleke matapishi Yako Lumumba
 
Amani kwanza kisha haki baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…