Absalom Kibanda Aliteswa wakati ana Kesi ya Uchochezi (Inayohusu Polisi)

Upelelezi uliokamilika utaangalia na wote waliokuwa na bifu na Absalom Kibanda.

Huwezi kupinga kuwa Kibanda ana kesi Ya Uchochezi dhidi ya majeshi yetu yote (Polisi, Magereza, JWTZ, JKT na KMKM). Magazeti yake yaliandika makala zinazoyakera haya majeshi.

Pia ameandika makala hii hapa KAULI NZITO YA KIBANDA: Kwa JK uzushi, kwa wengine kashfa! ambayo iliwakasirisha sana Ikulu na TISS.

Tukiishia hapo tu kwa akina Maggid utakuwa ni upelelezi wa juu juu sana.
 
Wapelelezi wa Tanzania wakipuuzia bifu hizo ntakosa imani kabisa na system yetu ya sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…