Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

oooh Nooo!! Dont tell me they intended to make him blind like what they wanted Kubenea to suffer!!
Tanzania, Tanzania where are you heading for?

 
Mimi kawaida yangu humu mtu akifanya anajuwa sana kiingereza huwa namkabidhi kwa Kiranga tu.

Tartiiibu.Kiranga ndo kawa kifimbocheza?

Since you asked, and I am in a pedantic mood with a and pugilistic slant today, "in the womb" is not a time, it is a place. "your pre-natal stages" would have been more appropriate.

Saying "as early as in the womb" is like saying "as early as Dodoma". The reader would have the extra work of tracking the context.

But on the real, let's not derail the thread.

Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake

Tanzania is increasingly becoming a police state run by the reign of terror.

Hawa si majambazi. Majambazi huiba. Hawa ni watu wa kazi zilizo beyond ujambazi wa kawaida.
 

Nikiwa kama detective mstaafu wewe kuna uwezekano mkubwa 78% unahusika.
 
Nadhani hakuna uhusiano wowote kati ya issue Mollel na Kibanda, unajichanganya mwenye huu ni ushihidi tosha nyie vijana wahuni wa Chadema mnahusika na mnatumika vibaya nyie ndiyo mtakaoisaidia polisi.
Serious are you talking about polisi!!?? Realy!!





 
Nikiwa kama detective mstaafu wewe kuna uwezekano mkubwa 78% unahusika.
Unajuwa hata maana ya Detective? unaongea ushuzi tu Lumumba kabebe posho yako hapa wacha wanaume waongee vitu vya kimsingi.

Aliyekwambia haya matukio yanahitaji Detective ni nani wakati mratibu mkuu yuko pale Magogoni right wing?

Kwanza unajuwa hata Left wing na right wing katika nchi yetu? nisije nikawa nangea na zuzu lisilojuwa lolote bin mbulula.
 
Hivi hii nchi tunaelekea wapi jamani,mimi naanza kupata wasiwasi,tatizo ni nini hasa,nchi inaharibika, we must do something serious to rescue this situation otherwise worse will turn to worse tutakuwa hatuna tofauti na Somalia,it started just like this na watu walidharau hatimaye sasa nchi itafikia mahali itakuwa haitawaliki,siwapendi wana siasa asilani.
 
Duuuh kama ulimboka vilevile!
Hapa huu mchezo huu kuna watu wanataka kubambikiwa kabisa! Hawa waliyo fanya haya hawana tofauti walio mfanyia ulimboka!

.........
 
Duuuh kama ulimboka vilevile!
Hapa huu mchezo huu kuna watu wanataka kubambikiwa kabisa! Hawa waliyo fanya haya hawana tofauti walio mfanyia ulimboka!
Serial touchier bado ni yule yule mmoja na anajulikana vyema, hapa tunapiga porojo tu kina Pasco wajitafutie umaarufu kunuka kwamba kuna vitu wanavijuwa wakati uongo mtupu na kutafuta sifa za kijinga tu.
 
Kijana hii ndiyo kazi yako humu JF utoto utoto.

wewe huna unalolijua katika nchi hii, si hitaji hata kukufamu wala sihitaji unifahamu mimi ni nani....wewe ni mpuuzi na kuna siku utajuta!!!
 

Upelelezi utabidi uanzie kwako wewe mwenyewe na huyo mwenzio,yaelekea mnamfahamu hata muhusika au yaweza kuwa ni nyinyi wenyewe.
Naamini Polisi wanatakiwa watumie utaalam wao wote pasi kufuata mis-leading info kama hii yako wewe, inaumiza sana kitu Absalom Norman Kibanda katendewa, hakika inaumiza...
 
Nadhani mkasa huu unaenda sambamba na article waliyoiandika gazeti lake la MTANZANIA kuhusu chuo kilichojengwa Ukerewe alichodai kinaendesha mafunzo ya kigaidi.Yeye akiwa ni MHARIRI MKUU wa gazeti hili.Bila shaka kile alichoandika hakijawapendeza wasomaji hasa walioguswa na habari ile.
 

Mkuu kwenye red acha nikukosoe kabla ya ritz hajatoka kwenye ban..CSI
 
Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.

......

Ufinyu wa mawazo, so mmefanya ili msingizie tanzania Daima na CDM, always ndo kimbilio lenu, hata Mwangosi mlisema alirushiwa kitu chenye ncha toka kwa mashabiki wa CDM camera zikawaumbua, shame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…