Absalom Kibanda (Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri) avamiwa na watu wasiojulikana na kujeruhiwa

Huyo jamaa hana lolote ni muongo na mnafiki kabisa!

Serial touchier bado ni yule yule mmoja na anajulikana vyema, hapa tunapiga porojo tu kina Pasco wajitafutie umaarufu kunuka kwamba kuna vitu wanavijuwa wakati uongo mtupu na kutafuta sifa za kijinga tu.
 
Wee mleta habari, hebu weka mambo sawa. Ametekwa au amevamiwa na majambazi nyumbani kwake? Tuambie wamechukua nini? Ukisema ametekwa ina maana walimpeleka kusikojulikana na kuanza kumshambulia? Hebu toa maelezo yanayojitosheleza bwana.

Bwana Lukolo, hujaiona hii kwenye habari yenyewe? Nanukuu kutoka kwenye habari: "Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake"

Na kwa taarifa yako, unamwona Makamu wa Rais akienda hospitalini kumjulia hali, ili tu kufunika kombe..... Hata hivyo, kadri wawapigavyo na kuwatesa wanahabari, ndivyo basi Watanzania wafungukavyo na kuyatafuta mapinduzi zaidi. Kwani walipommwagia Kubenea tindikali, sauti ya wanahabari ilinyamaza Tanzania? Je walipolifungia gazeti la Mwanahalisi, waliweza kunyamazisha tasnia ya habari? Je walipomuua Mwangosi? Ngoja waendelee kuweka kuni kwenye moto wa kuwachoma wao wenyewe. Tanzania imeshaamka sasa, hatuna mchezo eti...
 
Ukiwa huna akili, huna akili kweli. Huyu ni muandishi wa habari ambaye mara nyingi amehusishwa na makala ambazo ni chukizo kwa serikali, hapana shaka ktk hili serikali inahusika. Hata hivyo inabidi ikili kwamba ina watuma watu ambao ni dhaifu kifikra ambao hawatimizi lengo maana natumai kibanda akipona ataianika tena serikali km ilivyokuwa ktk matukio yaliyotangulia.
 

naona unajaribu kuhamisha akili za watanzania kwenye uknown....kumbuka kibanda alikuwa mhariri mkuu wa tz daima na hakuondoka vizuri
 
Fikra za kawaida tu hao si majambazi! Utawaitaje majambazi wakati hawajapora chochote???

Ushauri: neno ujambazi limetumika ovyo mara nyingi na madhara yange ni kupotosha maana ama uhalisia wa jambo husika! Tutafakari kwa kina!!!!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Prof: Jwani Mwaikusa......
 
Hapa lazima ofisi yake ya Zamani kabla ya kuhama ichunguzwe kuna kitu hapa

sure. hawa jamaa wanajihusisha na matukio mengi sana halafu wanaisingizia serikali. lazima mwajiri wake wa kwanza achunguzwe na ukweli utabainika. wangwe walisema alikufa kwa ajali. na sasa kibanda wanavumisha majambazi
 

kama ilivyo jina jina lako, acha uvivu wa kufikiri....kibanda alikuwa mhariri wa gazeti la tanzania daima ambalo mmiliki wake ni chadema....ameondoka akiwa na mgogoro na viongozi wa chadema...akaenda kwenye gazeti la mtanzania ambalo wamiliki wake ni makada wa ccm ambao ni mahasimu wa chadema...watanzania wanaelewa stori nzima mkuu, hata ishu ya chacha wangwe ilikuwa hivi hivi
 
sure. hawa jamaa wanajihusisha na matukio mengi sana halafu wanaisingizia serikali. lazima mwajiri wake wa kwanza achunguzwe na ukweli utabainika. wangwe walisema alikufa kwa ajali. na sasa kibanda wanavumisha majambazi

mkuu umesema kweli....majambazi gani wasichukue hata simu? Kila alichokuwa nacho amekutwa nacho kikiwa salama....shida yao ilikuwa ni kichwa kwa sababu kinajua mambo yao mengi na roho inayompa uhai
 
Huu ni zaidi ya uchizi! Na tulijua mtasema hivyo maana huu ni mpango maalum na kamwe hamtoweza!

sure. hawa jamaa wanajihusisha na matukio mengi sana halafu wanaisingizia serikali. lazima mwajiri wake wa kwanza achunguzwe na ukweli utabainika. wangwe walisema alikufa kwa ajali. na sasa kibanda wanavumisha majambazi
 

Wakati naweka comment yangu ya awali hiyo taarifa ilikuwa haijakamilika kama ilivyo sasa. Nadhani mleta maada ameiboresha baadaye, na tayari nimeshaisoma kwenye sources nyingine na kutambua kwamba hakuna walichochukua.

Na kilichonitisha zaidi ni eti wamemvamia getini wakati anaingia nyumbani kwake. Nashangaa sana, walitaka nini? Kumuua? Au kuna document walizifuata?

Tanzania si nchi salama kabisa ya kuishi hivi sasa. Maana dola inatumika kwa ajili ya kupambana na wanaoikosoa serikali badala ya kutumika kulinda maslahi ya nchi.

Kama hawajachukua chochote, pamoja ya kwamba walimchukua yeye binafsi na kwenda kumtelekeza kusikojulikana, ni dhahiri walinuwia kumuua.

Tayari waziri wa afya ndugu Hussein Mwinyi amekwenda hospitali kumjulia hali. Na hiyo ndiyo tabia yao. Tuna wakati mgumu sana hivi sasa.
 
sure. hawa jamaa wanajihusisha na matukio mengi sana halafu wanaisingizia serikali. lazima mwajiri wake wa kwanza achunguzwe na ukweli utabainika. wangwe walisema alikufa kwa ajali. na sasa kibanda wanavumisha majambazi

......


Unajua siku za mwanzo wakati unaanza kuweka posts zako humu JF nilijua wewe ni mmoja wa members wa TISS, lakini baadaye nikaja kugundua kwamba huna lolote, ni mganga njaa wa CCM tu.

Huna tofauti na mavuvuzela wengine wa CCM ambao hufanya kazi ya kutetea lolote hata kama lingekuwa linahusisha umwagaji damu wa raia wasio na hatia. Siku zenu zinahesabika!
 
Mara zote na wakati wote WASEMA KWELI WANA MAISHA MAGUMU AU HAWANA MAISHA KABISA HAPA DUNIANI.Mifano ni mingi sana ya watenda haki na wasema ukweli hapa duniani wanavyoteseka na kufa vifo vya ajabu.

Kibanda Mungu akuponye haraka.


.......

Sina uhakika kama alikuwa msema kweli au alikuwa anatumika lakini usalama wa mtu yeyote unahitajika. mungu amsaidie apone haraka.
 
Aisee!! Kweli nchi imefika pabaya. Mungu aturehemu.
 
Tusiendekeze ujinga,Tanzaniadaima wanahusikaje na kuumizwa kwa kibanda?,ulikuwapo siku mbowe anamuaga kibanda,unaelewa ya kwamba mbowe hakufurahia kibanda atoke pale kutokana na kwamba alikuwa na mchango mkuwa sana freemedia?,mbowe na CDM hawawezi kufanya ujinga wa aina hiyo,wewe sema umetumwa kuvuruga ukweli sema na tukuelewe unalipwa kiasi gani?, tumwombee kibanda apate nafuuu na taarifa za sasa hivi ni kwamba ndo anapelekwa A.Kusini kwa matibabu zaidi,nadhani tayari ameshaondoka kwa mujibu wa mtu wangu wa karibu pake New habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…