Baba V
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 19,479
- 9,540
yule Mkenya Amerudi tena kuwadhulu na kuwateka watu @ kova
Tena atasema "safari hii amekimbia vurugu za uchaguzi kwao"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yule Mkenya Amerudi tena kuwadhulu na kuwateka watu @ kova
polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.
Walioshuhudia tukio wanaeleza kuwa waliompiga hawajachukua kitu chochote, so tusidanganyane , huu ni mpango maalum
Ndio kabisa!! Ni mpango maalum wa ma tyrant wa ccm kuwafunga midomo wakosoaji wa ukandamizaji na wizi unaofanywa na viongozi wa ccm.
Tunaelekea wapi...Why Absalom? Anayesimamia anachokiamini,mwanahabari ...Majambazi! Haiingii akilini..kuna dots za kuunganisha hapa..