Polisi waanze uchunguzi na gazeti la tanzania daima na chadema. kwani hatuelewi ni kwanini alikimbia huko alipokuwa mhariri wa hilo gazeti la mwenyekiti wa chama.
Wapi FBI?
Mwita Maranya unatuangusha mkuu, Usalama wa taifa alizikwa nao Mwl. Nyerere, na hivyo kutafuta jina sahihi la TISS ambalo ni UHASAMA WA TAIFA.
Mkuu kama ndiyo hao hao waliomteka ndiyo wafanya uchunguzi, basi hakuna uchunguzi kwa vile wanakijua kilichofanyika.Mkuu unatarajia nini endapo walio mteka ndo hao hao wanao takiwa kufanya uchunguzi ? Kweli nime amini hiki kizazi cha tume ni problem.
Ametekwa na kujeruhiwa nyumbani kwake??? How come utekwe hapo hapo na ujeruhiwe hapo hapo na ukimbizwe hospitali?
Je ni nani aliye mteka, na ni naliyemkimbiza hospitali na ni nani aliye muokoa?
......
mmh..so funny! Ulimbokalism has emerged as a threatening big monster in tanzania!
......
usipindishe mjadala, huyu aliondoka tz daima kama mhariri mkuu na kwenda new habari coop. Wachapaji wa magazeti ya mtanzania na rai, waliomdhuru ni huko alikotoka. Uchunguzi ufanywe na yeye aeleze watu ambao alikuwa na kisa nao
......
Acha kujiaibisha kwa kuongea mambo ya ajabu ajabu. Yaani unaona udhaifu wa usalama wa taifa baada ya Kibanda kupigwa na vibaka. Mbona huwa huongei hayo dada zetu wanapoibiwa pochi kila siku pale ''mtego wa panya?''
.....
hapo kuna tume itapata ulaji,maana nchi hii tume ni zaidi kwa kazi kuliko wale walioajiriwa kwa kazi yenyeweMwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Abdalom Kibanda, amekimbizwa Muhimbili baada ya kuvamiwa na kisha kujeruhiwa na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi.
Watu hao walimvamia na kumtoa katika gari kisha wakampiga kabla ya kumtupa na kumtelekeza umbali mdogo na nyumbani kwake.
Aliokotwa na majirani na kukimbizwa hospitalini Muhimbili kwa matibabu ya haraka.
Pamoja na kuumizwa hivyo, hakuna kitu hata kimoja kilichoporwa katika gari lake
Taarifa zaidi baadae...
Wee mleta habari, hebu weka mambo sawa. Ametekwa au amevamiwa na majambazi nyumbani kwake? Tuambie wamechukua nini? Ukisema ametekwa ina maana walimpeleka kusikojulikana na kuanza kumshambulia? Hebu toa maelezo yanayojitosheleza bwana.
Mimi kawaida yangu humu mtu akifanya anajuwa sana kiingereza huwa namkabidhi kwa Kiranga tu.
Hivi Uzushi unakusaidia nini wewe Kibwengo? Kibanda ameacha kazi mwenyewe Freemedia na kufuata maslahi zaidi Habari Corporation, hata kama huna akili lakini tumia hizo chache zilizosalia kichwani kwako zinazokusaidia kukumbuka kwamba kuna kuvaa chupi na kuchamba baada ya kuhara.Mambo ya visasi ni magumu sana mkuu, huyu KIBANDA alitimuliwa kule Tanzania daima, sasa kama kuna misuguano imeendelea kuwepo baina yake na huyo mwajiri wake wa zamani lazima mambo kama haya yatarajiwe.
Yaani kukutajia tu Kiranga ghafla umeshajuwa na kuandika kwa Kiswahili!!?? kweli Kiranga ni tishio humu na ndio Dikishenari ya JF.Mwambie aje huyo Kiranga wako halafu njoo na wewe na wanao wanaosoma St. Mary's na yule demu wako anayefagia ofisi za British Council.
Its everyone's wish, kinana will help him as he has been promoting him.
sisi tunahesabu tu wanyakyusa wanvyo malizwa, kumbuka jaji mwakibete,prof mwaikusa,prof mwandosya,mwakyembe,ulimboka,mwangosi,mwakiteleko sasa abuu kibanda,tafakari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mambo ya visasi ni magumu sana mkuu, huyu KIBANDA alitimuliwa kule Tanzania daima, sasa kama kuna misuguano imeendelea kuwepo baina yake na huyo mwajiri wake wa zamani lazima mambo kama haya yatarajiwe.