Abudhabi imekamilisha kinu cha mwanzo cha nyuklia mashariki ya kati.

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Umoja wa falme za kiarabu umekamilisha ujenzi wa kinu cha nyuklia ambacho kitakuwa ni cha mwanzo katika maeneo ya mashariki ya kati.
Kinu hicho kitatoa jumla ya 40 Terrawatts za umeme kwa mwaka ambao utakuwa ni asilimia 25 tu ya matumizi yake kwa mwaka
Baada ya miaka 60-80 kinu hicho itabidi kifumuliwe ambap kitakuwa kimemaliza umri wake wa kutumika.

Oil power UAE completes Arab world's first nuclear plant

1725682380357.png
 
Unakumbuka Ujerumani wameamua kuachana navyo vinu vya aina hiyo.
Germany akili kubwa madhara ya Nukes power ni makubwa kuliko faida ndiyo maana waliamua kuachana na vitu hivyo, shida IPO kwa waarabu wasiostarabika kama Taliban ama jamii za watu wa Iran hao hawashindwi kulipua wakiamka wamenyimana papuchi.
 
Hakuna kuripuana isipokuwa vinu vya nyuklia ni hatari tu kuwa navyo.
 
Germany akili kubwa madhara ya Nukes power ni makubwa kuliko faida ndiyo maana waliamua kuachana na vitu hivyo, shida IPO kwa waarabu wasiostarabika kama Taliban ama jamii za watu wa Iran hao hawashindwi kulipua wakiamka wamenyimana papuchi.
Pakistani wana silaha za nyuklia ili wametulia , changamoto zote za amani katika nchi ya Pakstani huoni wakitishia kuifuta India kwenye imani ya dunia, tofauti na Iran ambaye anatengeneza kinu cha nyuklia ili wapambane na Israel na USA.
 
Bila shaka US amebariki, muarabu kumiliki Nuclear ni hatari mno.
 
Pakistani wana silaha za nyuklia ili wametulia , changamoto zote za amani katika nchi ya Pakstani huoni wakitishia kuifuta India kwenye imani ya dunia, tofauti na Iran ambaye anatengeneza kinu cha nyuklia ili wapambane na Israel na USA.
Pakistan na India wana ugomvi mdogo sana wa Kashmir.
Usifananishe na USA na Israel wanavyowachokoza Iran.
Iran uchumi wake upo crippled kwasababu ya USA.
 
Nchi yenye eneo dogo ni hatari sana kumiliki kinu cha nyuklia. Lazima kinu kiwe karibu na makazi ya watu na lolote likitokea madhara ni makubwa.
Bora nchi kubwa na zenye mapori au majangwa zikiwa navyo angalau hata kutorosha raia kwenda sehemu salama ni rahisi. Sasa hapo UAE mara miaka 10 ijayo labda kuna kundi la kigaidi kama Houthi linakilipua raia wanakombolewaje kirahisi.

Kama Houthi walikuwa wanashambulia matenki ya mafuta ya Ssudia, si ni hatari makundi mengine yatakayojitokeza yakishambulie.
 
Mbona umevuruga mada mkuu?
Hatari ya nuclear plant na Houthi vimeingilianaje!?
Saudi Arabia aliivamia Yemen kijeshi ndio maana Houth walimlipulia visima vya mafuta.
 
Pakistan na India wana ugomvi mdogo sana wa Kashmir.
Usifananishe na USA na Israel wanavyowachokoza Iran.
Iran uchumi wake upo crippled kwasababu ya USA.
Kwanini Israel iliamua kukaa kimya iliposhambuliwa na Iran miezi michache iliyopita, ni kwa sababu makombora ya Iran yalifika mpaka karibu na kituo cha nyuklia cha Israel kwenye jangwa la Negev.
Kwa maana hiyo kumiliki makombora ya ballistic na ya nyuklia unaheshimika sana.
Iran hawalaumiki kwa lolote lile kwa kuharakisha kumilikia nyuklia.
 
Back
Top Bottom