Abudhabi imekamilisha kinu cha mwanzo cha nyuklia mashariki ya kati.

Abudhabi imekamilisha kinu cha mwanzo cha nyuklia mashariki ya kati.

mpk ss silaha za Iran ndo zimekuwa zinaleta fujo hapo mashariki ya kati
Hujaona kuwa silaha za Marekani ndizo zinazoua maelfu ya watu.Hakuna silaha ya Iran iliyotumika katika mauwaji hayo.
 
Kwanini Israel iliamua kukaa kimya iliposhambuliwa na Iran miezi michache iliyopita, ni kwa sababu makombora ya Iran yalifika mpaka karibu na kituo cha nyuklia cha Israel kwenye jangwa la Negev.
Kwa maana hiyo kumiliki makombora ya ballistic na ya nyuklia unaheshimika sana.
Iran hawalaumiki kwa lolote lile kwa kuharakisha kumilikia nyuklia.
Israel hakukaa kimya alizuiliwa na wahisani.. na wahisani wakahakikisha hapati madhara yeyote ili asije kujibu vita ikalipuka kote... ila Israel alijibu akapasua S-3 mtambo wa kujilinda original from Russia.. ndio maana baada ya kifo cha Haniyah Iran kaambiwa yeye ukijibu jamaa amekupania haswa kukutia hasara kona zote haswa mafuta na bandari.. Iran akaeskuti akaona duh.. atumie njia nyingine... for now anakusanya defense battery maeneo muhimu ndipo aanze tena Domokaya
 
Back
Top Bottom