Hao hawaaminiki mkuuKwani Iran wamesema wamejenga kwa ajili ya uhalifu.
Germany akili kubwa madhara ya Nukes power ni makubwa kuliko faida ndiyo maana waliamua kuachana na vitu hivyo, shida IPO kwa waarabu wasiostarabika kama Taliban ama jamii za watu wa Iran hao hawashindwi kulipua wakiamka wamenyimana papuchi.Unakumbuka Ujerumani wameamua kuachana navyo vinu vya aina hiyo.
Hakuna kuripuana isipokuwa vinu vya nyuklia ni hatari tu kuwa navyo.Germany akili kubwa madhara ya Nukes power ni makubwa kuliko faida ndiyo maana waliamua kuachana na vitu hivyo, shida IPO kwa waarabu wasiostarabika kama Taliban ama jamii za watu wa Iran hao hawashindwi kulipua wakiamka wamenyimana papuchi.
Hawashindwi kuwa na reactor za kutengeneza silaha hao.Hakuna kuripuana isipokuwa vinu vya nyuklia ni hatari tu kuwa navyo.
Mwisho Huwa Mbaya Na Watu Kuhangaika Sana Gharama Za Kubomoa Kuteketeza MabakiHakina umuhimu kwa kweli.Na kikifikia mwisho wa maisha yake ndipo kinaleta shida kila aina.
Pakistani wana silaha za nyuklia ili wametulia , changamoto zote za amani katika nchi ya Pakstani huoni wakitishia kuifuta India kwenye imani ya dunia, tofauti na Iran ambaye anatengeneza kinu cha nyuklia ili wapambane na Israel na USA.Germany akili kubwa madhara ya Nukes power ni makubwa kuliko faida ndiyo maana waliamua kuachana na vitu hivyo, shida IPO kwa waarabu wasiostarabika kama Taliban ama jamii za watu wa Iran hao hawashindwi kulipua wakiamka wamenyimana papuchi.
Iran wanavyo zaidi ya vitatu,na Iran mwaka huu ripoti imetoka wamerutubisha uranium zaidi ya 38% ambacho ni kiasi cha kuunda bomu la nuke.Bora Hawa wawe nacho ila siyo Iran wahalifu
Pakistan na India wana ugomvi mdogo sana wa Kashmir.Pakistani wana silaha za nyuklia ili wametulia , changamoto zote za amani katika nchi ya Pakstani huoni wakitishia kuifuta India kwenye imani ya dunia, tofauti na Iran ambaye anatengeneza kinu cha nyuklia ili wapambane na Israel na USA.
Mbona umevuruga mada mkuu?Nchi yenye eneo dogo ni hatari sana kumiliki kinu cha nyuklia. Lazima kinu kiwe karibu na makazi ya watu na lolote likitokea madhara ni makubwa.
Bora nchi kubwa na zenye mapori au majangwa zikiwa navyo angalau hata kutorosha raia kwenda sehemu salama ni rahisi. Sasa hapo UAE mara miaka 10 ijayo labda kuna kundi la kigaidi kama Houthi linakilipua raia wanakombolewaje kirahisi.
Kama Houthi walikuwa wanashambulia matenki ya mafuta ya Ssudia, si ni hatari makundi mengine yatakayojitokeza yakishambulie.
Kwanini Israel iliamua kukaa kimya iliposhambuliwa na Iran miezi michache iliyopita, ni kwa sababu makombora ya Iran yalifika mpaka karibu na kituo cha nyuklia cha Israel kwenye jangwa la Negev.Pakistan na India wana ugomvi mdogo sana wa Kashmir.
Usifananishe na USA na Israel wanavyowachokoza Iran.
Iran uchumi wake upo crippled kwasababu ya USA.