mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
mimi mutwa mukulu nawakilisha kizazi cha dot com. nikiwa shule ya msingi ilembula njombe kwa mzee nyimbo, nilibahatika kusoma baadhi ya vitabu vya zamani kwani kijiji kile watu walianza kusoma mwaa 1945. nilipata kusoma kitabu cha abunuwasi, kisiwa chenye hazina na jamaa hodari kisiwani. wanajamvi, kama kuna mwenzetu anaweza kupost vitabu hivi naomba mtu postie vina kosha moyo. ​natamani vitabu kama wagagagigikoko, mahugli mtoto alie lelewa na nyani, tunguri ya ajabu,maji ya dhaabu, mti uimbao,ndege anenaye na maji ya dhahabu na vingi vinginevyo.nawasilisha