Abuse..( Dhuluma)


Hiyo bluu ni kauli hatari sana. Inaashiria kwamba lisemwalo na ndugu/jamaa/rafiki n.k. either liwe kweli au lisiwe kweli YOU DONT CARE!!! THEY MUST STICK TO WHAT YOU WANT, LIWE BAYA AU ZURI HALIWAHUSU!!! Ni aina fulani ya kuwafukuza ndugu zako. Tena ukiunganisha na hiyo red ndo inakamilika kabisa.

Mfano, umeambiwa mume/mke unaetaka kufunga nae ndoa anavuta bangi, anasafirisha mihadarati, ni kiongozi wa genge la ujambazi, ana wapenzi wengi n.k. then ukaambiwa ufanyie kazi hizi habari kabla hujafunga nae ndoa, wewe unaita ubinafsi.
Na kuonyesha jeuri unaitisha harusi, huku ukitaka ndugu wahudhurie???!!

Hapo kwenye black umesema KAMA KUNA KITU HAKIKUWAFURAHISHA hao ndugu (automatically kinaudhi) then unasema HAKIMUUMIZI YEYOTE??? How come is this possible???
 

Hamna kilichopo katikati ya mstari....soma nnachoandika kama kilivyo maana ndivyo nnavyomaanisha!!Lengo la mimi kuweka VYOVYOTE VILE ni kuwafanya ndugu wasiwe wabinafsi ...yani hata kama unachofanya sio kizuri wafikirie kukibadilisha kwa faida yako wewe na sio yao!Kitendo cha wao kususa hata kama umeua haimsaidii aliyekosea...ila kuongea nae na kumrekebisha itasaidia!

Alafu tofautisha maana ya kutofurahisha na kuumiza......kitendo cha wewe kununua nyumba mjini na wao walitaka ununue gari kinaweza kisimfurahishe mtu ila hakitamuumiza.....
 

Kwa hiyo afrodenz nikikuambia ninayapenda macho yako nitakuwa nimetenda VERBAL ABUSE?
 

Hilo ni lengo lako, lakin maana yake ya kawaida ndo hiyo niliyokueleza.
Unasema kususa haisaidii, bali kuongea nae na kumrekebisha. Sasa utaongea nini na mtu aliyekwisha amua kufanya anavyotaka???
Ushauri aliotakiwa afanyie kazi kabla ya ndoa hajaufuata, ataufanyiaje kazi wakati ameshaoa??? Kama ilitakiwa amekebishe mchumba ake na aone mabadiliko kabla ya ndoa, sasa hivi litafanyaje kazi????

Kwangu mimi na naamimi hata kwa wengi kitu nisichokipenda, kisichonifurahisha kina aina ya maudhi na sometimes kinaumiza, hasa kama kimekugusa. Kununua kitu ni tofauti na kushauri mtu. Mzazi kakushauri ufanye hivi, ukapuuzia! Hapo unategemea hicho kitendo hakitamfurahisha tu, ila hakitamuumiza??? Mtoto na matendo yake yanamgusa mzazi na ndugu yake moja kwa moja hata kama amekua.

Ndio maana tunasema uchungu wa mwana aujuae ni mzazi
Labda kama kwako kipo tofauti.
 
Ahsante kwa hii taarifa, i love them so much
 
Reactions: CPU
Kwahiyo kumbe tatizo ni tafsiri yako ya nnachosema mimi???Kwa hilo siwezi kukusaidia maana utaendelea kujitengenezea maana zisizokuwepo mpaka tulichokua tunaongelea kisahaulike so i rest my case!
 
Kwahiyo kumbe tatizo ni tafsiri yako ya nnachosema mimi???Kwa hilo siwezi kukusaidia maana utaendelea kujitengenezea maana zisizokuwepo mpaka tulichokua tunaongelea kisahaulike so i rest my case!

Sio tafsiri yangu, ndio maana yake ya kawaida. Uliza uambiwe
Mimi sikusema nahitaji msaada, ila nilitaka tuongelee hii habari kama aina fulani ya utekelezwaji
Lakin mwenzangu ukaona kama kawaida tu na pengine haina athari yoyote kwa mtekelezwaji kwa vile tu ameamua kufuata anachokata pasipo kuzingatia na kufanyia kazi mawazo ya nduguze
 
Punguza hasira kama nakuona vile
 
Kwahiyo kumbe tatizo ni tafsiri yako ya nnachosema mimi???Kwa hilo siwezi kukusaidia maana utaendelea kujitengenezea maana zisizokuwepo mpaka tulichokua tunaongelea kisahaulike so i rest my case!

Mnapendana kijanja sio eeeee, eti lizzy
 
mada ilikuwa nzuri sana bahati mbaya nimechelewa kuingia JF ............... kama sijachelewa, mmoja anishtue kwa PM nianze kumwaga mapoint............ tena kwennye eneo hili nilifanya na utafiti kabisa wa kitaalam...............

lakini we AD..................., kwa mapoint sikuwezi aisee ......................yaani kichwa sana we mtoto................. nitakuchumbia..................... ngoja nimalize shule.............. hope utakuwa bado available.................
 
Weka point upate mchumba....bado hujachelewa!
 

my dear samahani sana kama nimekukwaza
nimependa sana michango yako ila mimi nilikuwa
naku challenge tu .. hakuna kingine naomaba usinuniee
mtoto mzuri .. nilikuwa nakuelewa kabisa nanimeshukuru sana
kwa wewe kuleta huu upande wa ulelezwaji kwani huwa hauongelewi sana ..
sante sana dear.
 
Kwa hiyo afrodenz nikikuambia ninayapenda macho yako nitakuwa nimetenda VERBAL ABUSE?

mmhhh
nadhani hiyo tutaiita
LOVE ABUSE hahahahha lol
au we waonaje dear???
 

My dear
sekunde yeyote, dakika yeyoto, saa yeyote, siku yeyote,wiki yeyote ..............
unakaribishwa kuchangia na mi nakusubiria..

hapo kwenye blu mmhhhhh
tutaongea ukimaliza shule hahahahahah lol
 

Fasaha: kumun'gunya = kumumunya, maimuna = maamuma, stimu = mvuke

Kabla ya kutaka wengine waandike kwa ufasaha, ungeanza wewe kwa kurekebisha hayo niliyo yaainisha hapo juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…