Abuse..( Dhuluma)

Fasaha: kumun'gunya = kumumunya, maimuna = maamuma, stimu = mvuke

Kabla ya kutaka wengine waandike kwa ufasaha, ungeanza wewe kwa kurekebisha hayo niliyo yaainisha hapo juu.

hahahahahahahah lol
mie siingililii sana lakini
Hivi kwelini maamuma?? minaona maimuna ndo sahihi
au naomba nifundishe kidogo kama nimekosea hahahah lol
 

Du, hii ni topic nzito sana.
Lakini at the same time una maoni gani kwa wanawake ambao wanatendewa ubaya wote huo ulioueleza, lakini still wanakuwa hawataki kuachana na kuondokana na wanaume wanawao-abuse ktk kila namna.
 
Du, hii ni topic nzito sana.
Lakini at the same time una maoni gani kwa wanawake ambao wanatendewa ubaya wote huo ulioueleza, lakini still wanakuwa hawataki kuachana na kuondokana na wanaume wanawao-abuse ktk kila namna.
Mambo ya family tena mkuu, wamama wengi wamejikuta wanavumilia kutokana na hali halisi wanayoona watoto wanavyoteseka wazazi wakitengana, kitu kingine ni uchumi, wanawake wengine hawana chanzo cha kujipatia pesa hivo wanafikiria wakiondoka wataenda kuishije? ila siku hizi naona wasichana wengi wameamka wanasoma na wanakuwa na kazi nzuri, muda unavozidi kwenda huko miaka ya mbele sidhani kama kuna mwanamke atakuwa radhi kuvumilia ushenzi wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…