AD Nimependa observation yako...
Nini kinampeleka mtu kufanya haya mambo??
Naamini situations tofauti na wahusika tofauti ndo hupelekea kufanya hayo mambo.. Binadamu tumetofautiana, kuna wale wapole mno hata uwafanye nini anakuangalia tu na si kama anapenda ila naturally kaumbwa kua hivyo passive.. kuna wengine yeye kazi yake ni kutumia watu always kwa manufaa yake (US ingekua mtu ingekua mfano mzuri) hajali ataumia au lah! hapendi au lah! etc.. Kuna wengine ukimgusa tu umewasha moto wa petrol kuzima kazi ipo... Kuna wengine wao hawajali nini unawafanyia labda kama kitamuathiri negatively ndo ana react... na wengine wengi... Hivyo kupelekea watu kua na matendo tofauti towards the same thing....
Je kila afanyaye haya mambo ni mtu mmbaya??
Sasa ugumu ndo unakuja hapo, mana pande mbili zinapokua in logger heads lazima wote wana watu wao ambao wanaona kua mbaya ni yule ambae yuko against mtu wao.. But logically kwa mtu ambae hajali kua muhusika ni wa karibu wako au lah, lazima uangalie nature ya tatizo lililotodea na nature ya huyo mtu wako. For instance mtu wako ni mpole mno na ni mtu wa ku ignore siku ukisikia alimaka na kumtukana mtu - you will directly justify kua ni lazima alionewa na alikua na haki.
But nikitolea mfano wa sexual harrassment (mo' common ni wanaume kwa wanawake) inategemea. Unakuta maybe mdada anaonesha wrong signals kwa jamaa wanaefanya kazi office moja - smile kwa sana, mara umeinama kidogo ukilekeza body parts kwa the guy etc. Kaka zetu hawa ambae ni lijali anaweza fikiri wamtaka hivyo sikumoja nae anagusa firmly boobs zako - alafu unakimbilia management kua you have been sexually harassed - nani mbaya hapo?
na ni vipi tunaweza kuwasaidia waliokuwa kwenye hizi
situation ....
AD kwa perspective yangu kuweza kuwasaidia inabidi kuangalia tatizo, wahusika na source ya hilo tatizo kwa undani na bila bias...
Da Asha asante sana mwaya
kwa kujibu maswali yangu ipasavyo
kitu kimoja tu ambacho nataka kugusia ni hapo kwenye harassment
mimi nilikuwa sana sana naelekea kwenye sexual abuse upande wa kifamilia
sio hiyo ya kujitakia ila ya mtu anakamatwa sema na mjomba wake au house
girl anakamatwa na baba mwenye nyumba lakini hasemi kitu ..
una kuta mtu anapoteza hamu ya kuishi au haoni
maana ya maisha yake yote sababu anatumiwa vibaya
na kwa wengi hii wanakuwa nayo utakuta mtu ana miaka 40
lakini bado hajiamini anaweza kufanya kitu chochote maisha
ajili alidhulumiwa sehemu fulani ya maisha yake wakati yuko mdogo..
just roughly ukikutana au ukigundua mtu wa namna hii wewe kama wewe
utamsaidia vipi au utampeleka wapi apate msaada kama wewe huwezi
na utamfarijiri vipi...??
samahani kama nimekukaza sana ni kwa benefit ya wengi wakusomao..
asante