INAUZWA AC inauzwa kwa bei nafuu

INAUZWA AC inauzwa kwa bei nafuu

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Outdoor Air Condition Gas Imejaa sana

ni Mpya kama inavyoonekana wakuu.

usafiri unapewa buku 5.

Ipo Kijitonyama (Kijitonyama iko Dar es salaam kwa wenzangu na mm wa mikoani)

Bei laki Tatu na Nusu tu

FB_IMG_1632638798261.jpg


Namba ya mwenye mali ninayo nakuunganisha fresh
 
Wasiliana na mimi hapa nikupe namba ya mwenye AC.. 0678604333
 
Weka hapa namba tuzungumze nae mwenyewe
Nishaweka mbenda usiwe na wasiwasi kabisa hii ni legit business

Mzigo unapiga kazi vizuri

boss ni english lady yani mwelewa sana

karibu kijitonyama kwa wala starehe na bamutu bazito
 
Inayouzwa ni hiyo ya kwanza au hiyo ya chini,jokes.
 
Hakika biashara ni matangazo... alafu haijakamilika...

Kila la kheri zake...
 
Back
Top Bottom