AC ya gari haitoi baridi kabisa

Ushauri bora kuliko wote.
 
Mkuu
Nenda kajazie fundi ndiyo atakuambia inachukua muda gani.
Mkuu hilo swali yawezekana sio size yako na sio swali la kawaida bali lina mantiki na technical za kifundi ndani yake gesi ya ac kwenye gari haiishi kama yanavyoisha mafuta.au vilainishi kwenye gari..

Ac huwa haiishi na ukiona inaisha ujue gari yako ipo na shida ni sawa na gesi kwenye fridge.unaweza nunua gari mpaka inakufa 20yrs unakula tuu kiyoyozi lkn ukiona umeanza sound za kupungua nenda kafanye service ya ac na sio kujaza gesi..lazima kuna sehem kuna shida..

Pili kwenye magari kuna aina tofauti za gesi hili 99% watumiaji wa magari na mafundi wengi hawafaham pia wao wanajaza tuu magesi ya kichina .hapo ndio shida zaidi huongezeka fundi gesi anajaza gesi hata gauge hana zaidi yeye anaangalia kaubaridi kakianza tuu kutokeza kwa ndani basi anachomoa mtungi..

Baada ya miezi miwili mitatu imezingua tena gesi zingine feki na sio sahihi kwenye magari matokeo yake ni shida tupu.
 
Umeongea kisomi kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

AC ya gari kupungua ubaridi.

Mkuu, ulilitatua vipi hilo?

-Kaveli-
 
AC ya gari kupungua ubaridi.

Mkuu, ulilitatua vipi hilo?

-Kaveli-

Bro.

Nimeangaika mafundi wanasema inavuja ila wapi. Nimeishia kujaza gesi na kusubiri iishe nijaze tena.

Sijaenda kwa Makofia mzee.
 
S
Bro.

Nimeangaika mafundi wanasema inavuja ila wapi. Nimeishia kujaza gesi na kusubiri iishe nijaze tena.

Sijaenda kwa Makofia mzee.

Shukrani mkuu. Nimekupata vyema.

-Kaveli-
 
Kweli...gari nying za leo zinatumia gas 134a kwa ajiri ya ac... So huyu jamaa kitendo cha ac kutoa barid kunasababu kadhaa, mfano gas kuisha kutokana na leakage, ac clutch kuto-ku-engage, kuharibika kwa pressure sensors, compressor yenyewe kufa, expansion valve kutofanya kazi, peleka kwa fund anaejua nin anatakiwa kufanya...kwa kutumia gages kupata readings unaweza pata majibu.. Fundi hatakiwa ku-overfill or underfill the system.. Pia wakat wakufanya re-gasing anatakiwa ajue pressure reading hutofautiana kulingana na temperature ya wakat huo.. So nivema kujua pressure range kwa kila range ya prevailing atmospheric temperature.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…