Blaszczykowski
JF-Expert Member
- Dec 20, 2022
- 339
- 1,164
hili hali inaishaga ukikaa na kuzoea magari ila ukiona imezidi kuna vidonge fulani hivi vidogo vya njano na blue ni kiboko yake, htatapika kamwe wala hutahisi hiyo haliHabari wakubwa na wadogo .
Nataka kuuliza hii hali ninayoisikia pindi inapowasha AC ndani ya dk 10 tu mwili wote unaanza kuishiwa nguvu na kuanza kuhisi kutapika pia tumbo linachefuka hii imeanza tokea nianze kutembea na boss pamoja kwa gari yake mpaka ananishangaa why nakuwa na hali kama hiyo mbaya zaidi na yeye awezi kushusha vioo .Hali inanitesa sana sijui shida nini
Mimi inaniudhi Ile harufu yakeHabari wakubwa na wadogo .
Nataka kuuliza hii hali ninayoisikia pindi inapowasha AC ndani ya dk 10 tu mwili wote unaanza kuishiwa nguvu na kuanza kuhisi kutapika pia tumbo linachefuka hii imeanza tokea nianze kutembea na boss pamoja kwa gari yake mpaka ananishangaa why nakuwa na hali kama hiyo mbaya zaidi na yeye awezi kushusha vioo .Hali inanitesa sana sijui shida nini
Nitavitafutahili hali inaishaga ukikaa na kuzoea magari ila ukiona imezidi kuna vidonge fulani hivi vidogo vya njano na blue ni kiboko yake, htatapika kamwe wala hutahisi hiyo hali
NitajaribuWeka recirculation off hafu tuone.
View attachment 2596711
Habari wakubwa na wadogo .