AC ya gari yangu inakuja na kukata

Hapo ni compressor tuu maana hizi premeo Huwa Zina compressor ambazo hubana ndani Sasa ikifail tuu ubaridi Huwa unakuja na kukata.Badilisha compressor weka oil yake Kisha jaza gas itakuwa poa.

Ulikuwa sahihi kaka, shida ilikuwa ni hii [emoji1544]
 
Asee mimi hilo tatizo ninalo kwenye terios kid yangu,najaza gesi baada ya muda ubaridi unapotea sijui tatizo laweza kuwa nini hapo wadau
 
Wakuu habari zenu.

Gari yangu ni Premio ila kuna shida naiona kwenye AC. Kuna muda AC inakuja kuna muda inakata.

Shida itakuwa ni nini?
Kwani ile IST umeuza au umemwachia Mrs. Pama mdogo (i.e. Jane)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…