AC ya gari yangu nikiiwasha inaleta upepo wamoto

MissM4C

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2012
Posts
1,740
Reaction score
1,005
Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.

Ushauri wenu muhimu
 
Itakuwa wameniiba nilikuwa dom majuz jamaa fulan ninayeheshimiana naye akaniomba akimbie garage kuangalia gar yake.. kesho yake gari yangu ikaanxa kuchemsha daaaah
angalia mfumo wa ac .. kama compressor iko sawa
Daaaaah itakuwa nimeibiwa hiyo compressor na haya mazaga mengine mpaka ikaanza kuchemsha... hatari hiii
 
compressor na kuchemsha havihusiani ....
 
Ok mkuu wanguuuu.... so itakusa tatizo tofaut ? Huenda piavikahusiana maana radiator hupoza
compressor na kuchemsha havihusiani ....
 
Reactions: Lee
Ok mkuu wanguuuu.... so itakusa tatizo tofaut ? Huenda piavikahusiana maana radiator hupoza
hapo cheza na rejeta mkuu na mfumo wa maji ...na usizembee usije unguza cylinder head ila kwenye ubaridi wa ac.. compressor ndo muhimu kuangalia
 
Mtu kashauri kuwa mtungi wa gesi umeisha?
hapo cheza na rejeta mkuu na mfumo wa maji ...na usizembee usije unguza cylinder head ila kwenye ubaridi wa ac.. compressor ndo muhimu kuangalia
 
Reactions: Lee
Ndioo nitawapa mrejesho mkuuu
hahahahaha nayo muhimu kupima kweli ...fundi aangalie gesi kama ipo make tumekimbilia vikubwa ila kwa maelezo uliyotoa kuwa inatoa joto cheki gesi na compressor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…