AC ya gari yangu nikiiwasha inaleta upepo wamoto

unachanganya unatakiwa uelezee thermostat inahusikaje na cooling wewe umetupia tu Onyo
nimeelezea katika post yangu point ya 2 kuwa thermostart ni kifaa kinachokaa kati ya engine na rejeta inahusika na kuhifadhi joto la maji ya injini yasipoe ili asubuhi au huko kwenu Mafinga kwenye baridi utakavyowasha mlipuko ndani ya cyilinder combustion itokee
yeye ana Nissan xtrai tena Dsm kwenye joto hiyo kitu atupe mbali na wala asiirudishe kwani kinazuia (Block) utiririkaji wa maji mpaka gari lipate joto
How does the thermostat in a car's cooling system work? Any liquid-cooled car engine has a small device called the thermostat that sits between the engine and the radiator. ... Its job is to block the flow of coolant to the radiator until the engine has warmed up.
Gari za Ulaya matumizi mengi si ya hapa Afrika asikilize ushauri wa mafundi sio sio wa wauzaji wa magari au hadithi za mitaani

sasa gari ipo Dsm kwenye joto 38c eti liwake kwenye 100c ataachaje kusikia gari inachemsha au ina joto
Member MissM4C kamsikilize fundi wa cooling system sio dereva mzoefu
Bado haupo sahihi. Nadhani wewe hiki kifaa hauelewi kinafanyaje kazi.

Thermostat hata kwenye friji ipo kazi yake kuu ni kuregulate flow ya coolant pale inapohitajika na ikitakiwa kusimamishwa ili kubalance kiwango cha joto.

Unaposema thermostat inahifadhi joto hivi unaifahamu hata kwa muonekano ipoje?! Inahifadhi joto katika sehemu gani labda tueleze mkuu?!

Labda tu nikuelekeze kuwa haijalishi upo mkoa gani au taifa gani, thermostat huwa haiachi kufanya kazi yake. thermostat huwa inaruhusu maji kupita kulingana na kiwango cha joto ambacho imesoma. Kazi yake ni kuruhusu coolant ipite hadi itakapokuwa na kiwango cha chini kabisa cha joto kinachohitajika kwenye Engine ndipo itafunga then joto likipanda inafungulia tena coolant iflow kushusha hilo joto chini.

Unapotoa thermostat ina maana maji yataflow muda wote gari linapokuwa on na hiyo ni hatari sana kwenye engine kwasababu oil itakuwa ipo katika temperature ambayo sio sahihi kuiruhusu kuflow vema katika kila kona ya engine na hivyo kusababisha internal wear ya engine block.

Ndo maana gari nyingi za wabongo utasikia bangili za mapiston zinakufa haraka au piston zinalika upande.

Nenda kajifunze tena kuhusu kazi ya thermostat na namna inavyofanya kazi.
 
usiyoyajua
mm nimkuambia soma na ya wenzako km ni lugha ya kazi za thermostart pitia inaonekana ni Ligi sasa kutuletea mambo na You tube ni kuhusu Nchi za Joto na ndio mleta Mada anakaahiyo link

Drew Enero

1 month ago
And your rad fan is in direct switch mode thats why you have no thermostat in your cooling system.. When the engine is cold, the thermostat is closed and prevents coolant from flowing into the enginr and allows the engine to warm up. Once the engine has warmed, the thermostat will open and allow coolant to flow and cool the engine when it starts to get too hot

Jon B

5 months ago
I bought my car years ago and it didn't have a thermostat, never had issues with it, I installed one, drove for couple of years, recently replaced coolant, bled the system, but overheats after idling for a while but it cools down when I turn the heater on to full. Think I should remove it
mleta Mada kazungumzia Mji alioko ni wa joto na sio Nchi za baridi tofautisha Mada, hao wanaozitoa hizo T/start sio wajinga na maggari yao yanadumu

Me nmekuletea facts wewe unaniletea story za watu....

Anyway... Naona hatuelewani.
 
Bado haupo sahihi. Nadhani wewe hiki kifaa hauelewi kinafanyaje kazi.

Thermostat hata kwenye friji ipo kazi yake kuu ni kuregulate flow ya coolant pale inapohitajika na ikitakiwa kusimamishwa ili kubalance kiwango cha joto.

Unaposema thermostat inahifadhi joto hivi unaifahamu hata kwa muonekano ipoje?! Inahifadhi joto katika sehemu gani labda tueleze mkuu?!

Labda tu nikuelekeze kuwa haijalishi upo mkoa gani au taifa gani, thermostat huwa haiachi kufanya kazi yake. thermostat huwa inaruhusu maji kupita kulingana na kiwango cha joto ambacho imesoma. Kazi yake ni kuruhusu coolant ipite hadi itakapokuwa na kiwango cha chini kabisa cha joto kinachohitajika kwenye Engine ndipo itafunga then joto likipanda inafungulia tena coolant iflow kushusha hilo joto chini.

Nenda kajifunze tena kuhusu kazi ya thermostat na namna inavyofanya kazi.
Mmmmmmmhmn bro, thermostat inafanya kazi ya kupush temperature up sio kuishusha. Yaani ipo kudetect kiwango cha juu cha joto kinachotakiwa. Sasa ukisema thermostat ikifa radiator inapata joto, then nambie inapataje joto?!

Sent using Jamii Forums mobile app

yaani bora hata ulipokuwa kwenye Mada ya T/start uliekea lakini hapa ndio kabisa
kazi ya T/stari ni kuzuia maji yaliyopo kwenye Block engine kubakia na joto lake lilelile hata unapokuja kuwasha eneo /Mji/Nchi yenye baridi liwake kwa urahisi na joto linapofika kiwango cha juu km kupanda miinuko, milima au mzigo T/start inaruhusumajijoto yaende kwenye rejeta na Fan kupozwa
Hizo Hadithi nyingine za wasomi No hakuna kazi zaidi ya hiyo.
Hapa M4C kaomba ushauri, yeye kashauriwa aitoe kwenye Nissan Extrail na mm nimemwambia tupa kwani hakuna haja ya kubakiza maji ya joto kweye Block

zaidi ya hapo Darasa nililoeleweshwa na Mwl wangu na picha hiyo acha nibaki mwembeni Boyspanner
 
Natamani sana nipate gari yenye thermostat ambayo ndio imelala halafu asubuhi nikaamkia kusoma live data ya coolant temperature nikuleteee hapa ili uone wazi kwamba thermostat haifanyi kazi hiyo.

Ukiamka asubuhi joto la block la engine ndio joto la maji. Otherwise watu wakiwasha magari gauge ingekuwa haianzii chini, ingekuwa inaanzia somewhere. kitu ambacho sijawahi kukiona kwa yoyote otherwise kama gauge yake ni mbovu.
 
Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.

Ushauri wenu muhimu
Comments nyingi lakini sijui kama wamekujibu. Kwanza kutoa themostart haihusiani kabisa na AC kutoa joto badala ya baridi

Gari nyingi za kijapan zina AC na heater, na setting slider iko sehemu moja, sasa uliwasha AC lakini slider imepelekwa kwenye temperature ya juu (mara nyingi high temperatures inakua na alama nyekundu) hapo inakua umewasha AC na heater vyote kwa pamoja

AC haiwezi kushindana heater, heater inatoa joto kubwa sana hivyo ndio inakua mshindi

Badulisha temperature slider kwenda lower temperature na shida yako itaisha
 
Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.
Ushauri wenu muhimu
Natamani sana nipate gari yenye thermostat ambayo ndio imelala halafu asubuhi nikaamkia kusoma live data ya coolant temperature nikuleteee hapa ili uone wazi kwamba thermostat haifanyi kazi hiyo.
Mkuu nimekuelewa tangu mwanzo ulipopinga T/starter hata Mada yako inasema hivyo
M4C anasema ana Nissan XTRAIL ametoa T/starter mmnimemuomba asiirudishe kwa sababu Nchi yetu ipo Tropical hakuna haja ya kutumia hiyo kitu, pia tunatoa wire wa Automatic Fan ili ipige Direct
Land Cruiser zina Gari maalum kwa Tropical km Africa Gari maalum kwa Nchi za baridi km Amazon bado kuna SAHARA ambazo zikija vitu km hivyo bora utoe vitakutesa
Gari zetu mtaani hazitumii coolant tunaweka maji ya kawaida kabisa na fan huwa hazizunguki kabisa mpaka joto lipande
mfano wa clip hiyo hapo chini inaonesha T/start inatenga Block na rejeta ambayo inakaa na resevor mm km layman ndio tunaelewa kazi ya T/Sterter

narudia nimekuelewa lakni Mleta Mada mwache aondoe T/starter

Thermostater inafungua kutoa maji moto yanapozidi ili yapoozwe kwenye rejeta hivyo asubuhi maji yaliyo na joto ndiyo yanasaidia gari kuwaka joto likizidi yanaondoka hivyo hivyo Gari likizidiwa mzigo T/starter inafungua
 
MissM4C

Ndioo nitawapa mrejesho mkuu
Mkuu tunaomba mrejesho wa gari yako Xtrail na elimu uliyoipata hasa baada ya kutoa Thermostart
chochote utakachopata ni elimu pia
 
yaani bora hata ulipokuwa kwenye Mada ya T/start uliekea lakini hapa ndio kabisa
kazi ya T/stari ni kuzuia maji yaliyopo kwenye Block engine kubakia na joto lake lilelile hata unapokuja kuwasha eneo /Mji/Nchi yenye baridi liwake kwa urahisi na joto linapofika kiwango cha juu km kupanda miinuko, milima au mzigo T/start inaruhusumajijoto yaende kwenye rejeta na Fan kupozwa
Hizo Hadithi nyingine za wasomi No hakuna kazi zaidi ya hiyo.
Hapa M4C kaomba ushauri, yeye kashauriwa aitoe kwenye Nissan Extrail na mm nimemwambia tupa kwani hakuna haja ya kubakiza maji ya joto kweye Block

zaidi ya hapo Darasa nililoeleweshwa na Mwl wangu na picha hiyo acha nibaki mwembeni Boyspanner
Kwahiyo kwa maelezo yako thermostat inafanya kazi sawa na heater, si ndivyo?!
 
Natamani sana nipate gari yenye thermostat ambayo ndio imelala halafu asubuhi nikaamkia kusoma live data ya coolant temperature nikuleteee hapa ili uone wazi kwamba thermostat haifanyi kazi hiyo.

Ukiamka asubuhi joto la block la engine ndio joto la maji. Otherwise watu wakiwasha magari gauge ingekuwa haianzii chini, ingekuwa inaanzia somewhere. kitu ambacho sijawahi kukiona kwa yoyote otherwise kama gauge yake ni mbovu.
Dah kuna watu kuwaelekeza ni kazi sana. Sasa hizi video ziongea kitu anachobisha. Bora umempa mfano mzuri, gari zingekuwa zikiwashwa asubuhi zinaamka na ule mshale wa temperature unaenda straight katikati.
 
Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.

Ushauri wenu muhimu
Angalia knob ya ac isije kuwa umeongeza joto
 
Kwahiyo kwa maelezo yako thermostat inafanya kazi sawa na heater, si ndivyo?!
sawa kabisa (kwa urahisi ni mlango ambao joto likizidi inafunguka/likipungua linafunga maji yasiende kwenye rejeta na Fan inasimama ndio maana hata wire za Auto tunakata)
ndio maana kwenye Nissan Xtrail ya mwaka 2009 ya Miss M4C ameitoa tusubiri jibu lake
ile Mada ya Thermostart mm sikubisha ila nashauri T/start itolewe kwani huwa zinakwama kwa maji yetu ya chumvi (kwani hatutumii Coolant/ ant freez) na hazina faida kwa Nchi za Tropical, Gari zetu katika Nchi hizi joto kufikia 90 centigrade ni rahisi
One or two electric fans attached to the back of the radiator turn on when needed to force more air through the radiator. A water pump pulls the coolant from the radiator and moves it back into the engine.

The normal operating temperature of a modern engine is between 194°F (90°C) and 221°F (105°C). The job of a thermostat is to help the engine warm up faster and maintain the engine temperature above the minimum operating temperature (194°F or 90°C).

kwa hiyo unapolinganisha thermostart na heater au Friji ni sawa tu ongeza na mfuniko wa rejeta maji yakizidi joto yanahamia kwenye kikopo cha resever, ule mfuniko ukigoma kufungua au ukizidisha kwenye level ya full rejeta itachemsha
 
Wewe inabidi tukutane ana kwa ana na niwe na fimbo ya mpera ili nikiwa nakuelekeza tukibishana nakupa ushahidi na nikiwa sahihi unalala chini unakula 'sha hamsa al madabu' tatu tunaendelea na darasa.

Hayo unayosema yote sio sahihi, tukianza na swala la kutoa Thermostat. Huwezi toa thermostat kisha useme umesolve tatizo la over heating.

Thermostat ndio kifaa maalumu cha kuregulate flow ya coolant katika eneo la engine.

Wewe unachokisema ni changamoto kubwa ambayo mafundi wa chini ya muembe wanafanya inayosababisha gari za watu ziharibike siku za mbeleni bila kuwa na suluhu.

Jambo moja nikwambie tu ni kuwa maelezo yako ni ya kibahatisha kwasababu inaonyesha haujui madhara ya kutoa Thermostat na kuconnect fan iwe inawaka direct wakati fan imetengenezewa mfumo wa kuoparate na thermostat kwa kuwaka na kujizima vile inavyotakiwa sio kuwaka muda wote gari ikiwa on.

Unajua madhara ya kutoa Thermostat katika gari?!

Unajua impact ya fan kuwaka direct?!

Unajua nini hutokea engine ikiwa inapokea coolant masaa yote kupunguza joto?!

Unajua nini hutokea katika oil ndani ya engine ikiwa inatembea na jotoridi chini ya recommend temperature?!

Inajua kutoa Thermostat kuna madhara gani katika maisha ya engine?!
 
Hii ndio kazi ya thermostat na ipo clear.

kwa hiyo unapolinganisha thermostart na heater au Friji ni sawa tu ongeza na mfuniko wa rejeta maji yakizidi joto yanahamia kwenye kikopo cha resever, ule mfuniko ukigoma kufungua au ukizidisha kwenye level ya full rejeta itachemsha

Hapa unapoanza kufananisha thermostat na heater ndio unapoanza kutoa Boko.
 
Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.

Ushauri wenu muhimu
Ukitoa thermostat manake unaruhusu mzunguko huru wa maji ya moto kwenye engine hadi radiator,
Your average Ac condenser ipo mbele kabisa ili kuipa kipaumbele freon gas ipoe vizuri , na ndio mwanzo wa hewa baridi ndani ya gari , sasa ukitoa thermostat radiator inakuwa na maji ya moto muda wote , na kwa kuwa ipo karibu na condenser , condenser inakuwa haipoi vizuri , na ndio sababu hupati ac kali
 
Wewe inabidi tukutane ana kwa ana na niwe na fimbo ya mpera ili nikiwa nakuelekeza tukibishana nakupa ushahidi na nikiwa sahihi unalala chini unakula 'sha hamsa al madabu' tatu tunaendelea na darasa.

Hayo unayosema yote sio sahihi, tukianza na swala la kutoa Thermostat. Huwezi toa thermostat kisha useme umesolve tatizo la over heating.

Thermostat ndio kifaa maalumu cha kuregulate flow ya coolant katika eneo la engine.

Wewe unachokisema ni changamoto kubwa ambayo mafundi wa chini ya muembe wanafanya inayosababisha gari za watu ziharibike siku za mbeleni bila kuwa na suluhu.

Jambo moja nikwambie tu ni kuwa maelezo yako ni ya kibahatisha kwasababu inaonyesha haujui madhara ya kutoa Thermostat na kuconnect fan iwe inawaka direct wakati fan imetengenezewa mfumo wa kuoparate na thermostat kwa kuwaka na kujizima vile inavyotakiwa sio kuwaka muda wote gari ikiwa on.

Unajua madhara ya kutoa Thermostat katika gari?!

Unajua impact ya fan kuwaka direct?!

Unajua nini hutokea engine ikiwa inapokea coolant masaa yote kupunguza joto?!

Unajua nini hutokea katika oil ndani ya engine ikiwa inatembea na jotoridi chini ya recommend temperature?!

Inajua kutoa Thermostat kuna madhara gani katika maisha ya engine?!
Mafundi wa mwembeni ndio tunaojua magonjwa kuliko wale wa vitabuni kwa sababu kila siku tunakutana na tatizo hilo ndio maana tunalitibu, tofauti na Proff of Medicine
99% ya member humu wana magari maana wanavyojibu utadhani wanatumia coolant
wote tunatumia maji kama MissM4C ndio maana namtetea aitoe T/starter kwani hana uwezo wa kuinunua
There is a big difference between using proper coolant and water. While water does help to keep your engine cool, it does not work nearly as well as coolant does. First of all, water boils faster and at a lower temperature than coolant. ... In time, the water in the system would evaporate entirely.17 Aug 2017
Is water and coolant the same thing?

1631826311819.jpeg

Coolant is a chemically manufactured product that is premixed with water. ... It is essentially the same thing, the term coolant and radiator fluid is interchangeable while antifreeze is a different fluid that is added to the coolant mixture. Your radiator fluid or coolant can be with antifreeze or without.
1631826432570.jpeg

na wanakataza usichanganye coolant na maji
What happens if you mix water and coolant?
Mixing water with your antifreeze coolant keeps additives such as nitrates, phosphates and silicates suspended. Otherwise, they will settle inside the system, which could cause you to lose the protection against corrosion that these additives provide.25 Apr 2018
Mkuu kwa viboko nakubali kwani unatumia maji ya kawaida na hata ilipotoka Japan umekuta wanatumia maji, hebu huyo Mama asiirudishe hiyo Thermostart
ili atupe mrejesho
 
Sisi wa vitabu tinadharaulika ila nitakuambia kitu kimoja.

Hatukatai experience matters lakini ukiwa na experience pekee huwezi kusolve tatizo ambalo ni jipya kwako.

Kwa sababu huwajawahi kukutana nalo, na hapo ndio vitabu vinaingia...

Mfano mdogo tu, my first experience ya kurekebisha gari aina ya Mercedes Benz ilikuwa ni through books, Sikuwa nmewahi kukutana na mercedes mpaka siku hiyo nilipokutana na hiyo mercedes ambayo ilikuwa inasumbua gearbox, haibadili gear yaani inatembelea gear namba 1 tu (limp mode). Na hapo walikuwa washanunulishwa control box ya gearbox lakini bado tatizo lilikuwa lipo na gari walishaipark kwa muda mrefu almost mwaka na nusu sababu walikuwa wanazidi tu kuingia gharama.

Guess what!

Nilitumia ukurasa huu tu wa kitabu hiki katika kusolve tatizo. [emoji1484][emoji1484][emoji1484]

IMG_20210917_180836.jpg

Fundi aliyepita ambaye ni type yako wewe alikatakata waya na hivyo kufanya tatizo kuwa worse.

Hiyo picha imeeleza kila kitu kwamba combination ya hizo pini zinazotoka kwenye gearbox kuja kwenye control box ukipima zinakupa kitu gani. Tulipima tukakuta kuna tatizo Pressure modulation solenoid na kwenye mashine ilileta ishu hiyohiyo.

Katika kutrace waya wa hiyo solenoid tukakuta haujaungwa vizuri.

Kuunga waya na kwenda test gari inaingiza gear zote 1 mpaka 5.

Sikuwa na experience lakini nilisolve tatizo.

Yes experience matters lakini kuna muda experience inafanya unaguess matatizo na kuingia chaka.

Kuna matatatizo nikikupa kwa experience yako utayasolve kwa laki kadhaa au milioni kadhaa ila kwa vitabu unaweza kuyasolve bila kununua chochote.
 
View attachment 1942134

Very well said. Hujambishia ila umejaribu kumuelewesha. Hekima imetumika hapa.
 
Back
Top Bottom