That Gentleman
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,215
- 3,678
Ukiwasha AC Fan za Radiator inatakiwa Izime na Kujiwasha tifauti na ile kujiwasha ya Kawaida ya Injini.Inatakiwakuzunguka mda wote au namna gani? Na je ina uhusiano na thermostat?
Akuibie nan we! Gari gani kwanza maana usije kukuta unamiliki ISTItakuwa wameniiba nilikuwa dom majuz jamaa fulan ninayeheshimiana naye akaniomba akimbie garage kuangalia gar yake.. kesho yake gari yangu ikaanxa kuchemsha daaaahDaaaaah itakuwa nimeibiwa hiyo compressor na haya mazaga mengine mpaka ikaanza kuchemsha... hatari hiii
Refregerant imeisha, Kajaze. Peleka radiator kwa fundi ikaoshwe. Tumia coolant badala ya maji kwenye radiatorNikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.
Ushauri wenu muhimu
Unapowasha A/C kuna knob kwa ajili ya kuchagua kiwango cha joto ukitakacho (baridi au joto kali) sasa kwa upande wako hiyo knob au selector iko kwenye joto... Hebu badili chaguzi
Kwa wazungu ndiyo wanatumia hiyo kwa sababu kwao muda mwingi kuna baridi sana.
View attachment 1931002
- huyo jamaa yako hawezi kukubadilishia compressor ya A/C
- hiyo Thermostart toa na tupilia mbali kwani kazi yake ni kutunza joto la engine unapozima ili ukiliwasha asubihi liwake bila kusumbua, na kama ipo Fan huwa haizunguki mpaka joto litakapopanda ili lipooze
- kuna member kakwambia angalia knob za kubadili joto kwenda baribi zipo za zuina nyingi zipo za kuslide na km hizo za kwenye picha jaribu kuweka kwenye upande wa baridi/ bluu
- jaribu kumuona fundi wa injini aangalie rejeta labda haitunzi maji kweye reservor yake pembeni
- bado hujasema ni gari aina gani unaweza kukuta ni Land Rover 109 sisi tunapingana tu huku
Ah hizi gari hizi sijui watu mnazipendea nini aiseeh,zina majanga sana hizi..Mkuu peleka kwa fundi maiko utupe mrejesho baadae..Ni nissan xtrail nt31 2009
Kwa mwandiko ule hawezi kumiliki Mandolini "109" huyu atakua mlamba lips tuView attachment 1931002
- huyo jamaa yako hawezi kukubadilishia compressor ya A/C
- hiyo Thermostart toa na tupilia mbali kwani kazi yake ni kutunza joto la engine unapozima ili ukiliwasha asubihi liwake bila kusumbua, na kama ipo Fan huwa haizunguki mpaka joto litakapopanda ili lipooze
- kuna member kakwambia angalia knob za kubadili joto kwenda baribi zipo za zuina nyingi zipo za kuslide na km hizo za kwenye picha jaribu kuweka kwenye upande wa baridi/ bluu
- jaribu kumuona fundi wa injini aangalie rejeta labda haitunzi maji kweye reservor yake pembeni
- bado hujasema ni gari aina gani unaweza kukuta ni Land Rover 109 sisi tunapingana tu huku
Hii nissan inakusumbua sana Miss, pole. Ngoja waje wataalamu.Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.
Ushauri wenu muhimu
maji yana tofauti gani na coolant ?Refregerant imeisha, Kajaze. Peleka radiator kwa fundi ikaoshwe. Tumia coolant badala ya maji kwenye radiator
Coolant nilimaanisha ethylene glycolmaji yana tofauti gani na coolant ?
Coolant nilimaanisha ethylene glycol
Kwanza natamani nikulambe kofi moja la shavu sababu ya kuwa kilaza.Nikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.
Ushauri wenu muhimu
Ndugu haujawahi kaa mbeya au Iringa nini uone matumizi ya hizo option hadi unasema wanatumia wazungu tu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unapowasha A/C kuna knob kwa ajili ya kuchagua kiwango cha joto ukitakacho (baridi au joto kali) sasa kwa upande wako hiyo knob au selector iko kwenye joto... Hebu badili chaguzi
Kwa wazungu ndiyo wanatumia hiyo kwa sababu kwao muda mwingi kuna baridi sana.
Acha kumshauri vibaya mwenzako hilo eneo la thermostat. Hicho kifaa huwa hakitakiwi kutolewa unless kikiharibika kinatakiwa kubadilishwa.View attachment 1931002
- huyo jamaa yako hawezi kukubadilishia compressor ya A/C
- hiyo Thermostart toa na tupilia mbali kwani kazi yake ni kutunza joto la engine unapozima ili ukiliwasha asubihi liwake bila kusumbua, na kama ipo Fan huwa haizunguki mpaka joto litakapopanda ili lipooze
- kuna member kakwambia angalia knob za kubadili joto kwenda baribi zipo za zuina nyingi zipo za kuslide na km hizo za kwenye picha jaribu kuweka kwenye upande wa baridi/ bluu
- jaribu kumuona fundi wa injini aangalie rejeta labda haitunzi maji kweye reservor yake pembeni
- bado hujasema ni gari aina gani unaweza kukuta ni Land Rover 109 sisi tunapingana tu huku
Achana na chadema ili upate upepo wa baridi Cc ErythrocyteNikiwasha inaleta upepo wa moto... hot air badala yabaridi shida ni nini wakuu. pia gari ilikuwa na tatizo kKuchemsha nikatoa thermostat naomba msaada.
Ushauri wenu muhimu
Sijawahi fika Mbeya wala Iringa lakini huwa nasikia kuna baridi...Ndugu haujawahi kaa mbeya au Iringa nini uone matumizi ya hizo option hadi unasema wanatumia wazungu tu?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah basi kama hautaweza kwenda kipindi hiki jipange mwakani miezi ya kuanzia wa sita uende mkoani mbeya, iringa au maeneo ya Makete, Mafinga halafu uone matumizi ya hiyo kitu.Sijawahi fika Mbeya wala Iringa lakini huwa nasikia kuna baridi...
Ila kwa wale watu weupe huwa inafikia hatua ya snow kabisa so Mbeya hawafui dafu na utakuta mpaka seat ya gari imewekewa HVAC system
Inatakiwakuzunguka mda wote au namna gani? Na je ina uhusiano na thermostat?