Ac za baridi baridi Vs kununua AC kkoo..ipi Bora?

Ac za baridi baridi Vs kununua AC kkoo..ipi Bora?

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Waliowahi kupata huduma Kwa mfumo wa hii kampuni ya baridi baridi..inayouza AC na nimewahi sikia kama wanakodisha...kitu kama hiko...ukilinganisha na mtu kwenda dukani na kununua AC moja Kwa moja.....ipi Bora?
 
Kanunue Ac yako Mkuu...achana na kuunga unga anza hata na moja...BTU 12 then jipange weka ingine mdogo mdogo tu..utafika!
 
Kanunue Ac yako Mkuu...achana na kuunga unga anza hata na moja...BTU 12 then jipange weka ingine mdogo mdogo tu..utafika!
Hamjanipa jibu ..shida ni nini?kwenye matangazo Yao nimeona makampuni yanadai kutumia AC za baridi baridi...kuwa zina punguza cost..
 
Hamjanipa jibu ..shida ni nini?kwenye matangazo Yao nimeona makampuni yanadai kutumia AC za baridi baridi...kuwa zina punguza cost..
Hata mimi nilikua najiuliza hili sipati majibu ngoja waje waaelezee why baridibaridi?
 
Kama kuna mtu ameshatumia AC za baridi baridi angekuja kumuelekeza jamaa hapa ili na wengine tufaidike.
 
Kwenye mtandao wao kuna bei za kukodi na AC wanayotumia ni Daikin ambayo ni aina bora lakini zipo nyingi sikoni zanye viwango kama daikin kama Panasonic, Haier, Akai, Midea, Hisense, Gree n.k
Hiyo ya kusave Luku ni mbinu za uuzaji tu hakuna ukweli.
Sasa fanya hesabu zako mwenyewe. Inaonesha ukinunua mwenyewe ni bora kipesa.
 
Back
Top Bottom