Hamjanipa jibu ..shida ni nini?kwenye matangazo Yao nimeona makampuni yanadai kutumia AC za baridi baridi...kuwa zina punguza cost..Kanunue Ac yako Mkuu...achana na kuunga unga anza hata na moja...BTU 12 then jipange weka ingine mdogo mdogo tu..utafika!
Hata mimi nilikua najiuliza hili sipati majibu ngoja waje waaelezee why baridibaridi?Hamjanipa jibu ..shida ni nini?kwenye matangazo Yao nimeona makampuni yanadai kutumia AC za baridi baridi...kuwa zina punguza cost..