Hili jambo kama ningeweza kuwa na maamuzi, basi hawa ningewapeleka kwenye shule, kijiji ambamo wanadai wanasidia kwa kiasi kikubwa, walale huko, tufanye mikutano huko, kwani kama wanavyodai "usaidizi" wao unaleta "maendeleo kwenye maeneo wanayochimba" na hivyo basi sintaona tatizo kwanini tusifanye hayo makubaliano chini ya mti au kwenye madeski ya shule wanazo jenga. Mama ntilie ndani.