So wanataka kutuambia kua ule mchanga (makapi) ndio ulikua wanautegemea kwa kutafuta faida ya kila siku??
Kama ndivyo je dhahabu inayopatikana nayo wanaifanyia nini??
Wafunge tu waondoke wezi hawa, washatuibia sana
Unajua watu wangapi watakosa ajira na wanafamilia au unashabikia tu? Unadhani ni Arsenal na Man USo wanataka kutuambia kua ule mchanga (makapi) ndio ulikua wanautegemea kwa kutafuta faida ya kila siku??
Kama ndivyo je dhahabu inayopatikana nayo wanaifanyia nini??
Wafunge tu waondoke wezi hawa, washatuibia sana
Unajua watu wangapi watakosa ajira na wanafamilia au unashabikia tu? Unadhani ni Arsenal na Man U
Kwa ujumla hii habari hujaielewa. Hasara hawapati kwa sababu ya mchanga kwamba hawajasafrisha kwao na ndio faida yao. Hasara hii inatokana na zuio la makontena ambalo limepelekea bei ya "HISA" za Acacia katika soko la Hisa la UK na DSE la Dar Es Salaam kuporomoka.
Umeibiwa na nani? Kwa nini tusi deal na kinachosababisha tuibiwe badala ya kuruka rukaUnajua tumeibiwa kiasi gani? kama ajira atakuja mwekezaji mwengine hatuwezi kutetea ajira huku waliouzunguka mgodi (Wanavijiji) hawanufaiki nao pamoja na Taifa. Wandoke zao wezi tu hawa ACACIA
Over my dead humpKaribu Team Magufuli wetu!
Umeibiwa na nani? Kwa nini tusi deal na kinachosababisha tuibiwe badala ya kuruka ruka
Halafu majitu yanakuja na povu kupinga kila kitu kinacho fanyika kweli!!!!Kabisa aiji akilini leo hii viwanda wa kuprocess mkonge walalamike kuzuiliwa kusafirisha makapi ya mkonge alafu waseme wanapata hasara! Jamaa walikuwa wanapiga sana! Da kweli Tanzania ni shamba la bibi
Kwahiyo unataka tumuache mwizi alietuibia kisa tumeacha mlango wazi bahati mbaya?Umeibiwa na nani? Kwa nini tusi deal na kinachosababisha tuibiwe badala ya kuruka ruka