Academic camp

kalikumutima

Senior Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
147
Reaction score
46
Mimi ni Mdau wa Elimu manispaa ya Ilala.Tupo watu watatu tupo ktk mkakati wa kuanzisha kambi ya wanafunzi kidato cha NNE wanaojiandaa na mitihani mwezi November tunataka kuwaweka vijana top ten kila shule za manispaa ya Ilala.Tumepata hostel na walimu.Ombi letu tunaomba maboresho ya wazo na makampuni gani ambayo tunaweza kuwauzia wazo hilo na kutupa ufadhili.
 
Duh si mtawachanganya tu hao watoto ambao tayari wapo vizuri katika shule zao.Kwanini msiwaache waendelee na utaratibu wao wa kawaida katika shule zao ambao umewafanya wawe top ten mpaka sasa?
 
Kila hatua ukitaka top ten inapatikana kwahiyo tukiwakutanisha hawa wakati kitatoka kitu kizuri zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…