kalikumutima
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 147
- 46
Mimi ni Mdau wa Elimu manispaa ya Ilala.Tupo watu watatu tupo ktk mkakati wa kuanzisha kambi ya wanafunzi kidato cha NNE wanaojiandaa na mitihani mwezi November tunataka kuwaweka vijana top ten kila shule za manispaa ya Ilala.Tumepata hostel na walimu.Ombi letu tunaomba maboresho ya wazo na makampuni gani ambayo tunaweza kuwauzia wazo hilo na kutupa ufadhili.