Academic qualification ya Nape inatia shaka uwezo wake

Nandagala One

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2020
Posts
1,913
Reaction score
2,286
Habari Wana JamiiForums.

Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na demokrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.

Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania, nimeona matokeo ya mtihani wa Kidato Cha Nne, matokeo ni hivyo.

Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA

Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA. Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI?

Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.
 
Attachments

  • Screenshot_20240717-122234.jpg
    Screenshot_20240717-122234.jpg
    41.3 KB · Views: 3
Habari Wanajamii Forum.
Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na democrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.

Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania,nimeona matokeo ya mtihani wa kidato Cha nne, matokeo ni hivyo.

Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA

Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA ....INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA .....Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI??

Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.
Kwa tuliosoma vyema Saikolojia pamoja na Communication ukimuangalia tu alivyo na aongeavyo utajua ni mtupu!!!!
 
Duuh aisee fafa kama zote.

Naskia na mkulu nae elimu ni tiamaji tiamaji, bashite ndo ivo mzee wa nunge.
Siasa ni ujue kubwabwaja tu, sisi keyboard worriers acha tuendelee kuhurudika na tozo.
 
Habari Wanajamii Forum.
Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na democrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.

Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania,nimeona matokeo ya mtihani wa kidato Cha nne, matokeo ni hivyo.

Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA

Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA ....INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA .....Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI??

Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.
Halafu anapewa uongozi kwenye wizara nyeti, hii ni dharau kubwa kwa wananchi, lakini haya matokeo yanaidhalilisha mamlaka ya uteuzi na kuudhihirishia umma na dunia nzima kuwa mamlaka iko kwenye mbeleko
 
Kule nani ufundi wa kubwabwaja tu over, wabunge wenye merits ma intellectual, kibao wako bench
 
Habari Wana JamiiForums.

Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na demokrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.

Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania, nimeona matokeo ya mtihani wa Kidato Cha Nne, matokeo ni hivyo.

Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA

Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA. Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI?

Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.
Ifike mezani kwa Lucas Mwashambwa
 
Kila mtu kapanngiwa riziki yake , acheni kujiona mnajua elimu ya kuletwa tu na wzungu ...Elimu inaleta utengano kila mtu na uwezo wake acha apate riziki
 
Vua nguo tembea UCHI, maana suruali na shirt wameleta wazungu
 
Back
Top Bottom