Academic qualification ya Nape inatia shaka uwezo wake

Habari Wana JamiiForums.

Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na demokrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.

Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania, nimeona matokeo ya mtihani wa Kidato Cha Nne, matokeo ni hivyo.

Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA

Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA. Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI?

Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.

Ukifuatilia sana huyu lazima atakuwa aliiba mitihani. ukishaozoea ujanja ujanja huwezi acha.. same as February.
 
Haina uhusiano wowote ule, alichoongea kina Ukweli ndani yake ila Sasa si unajua TZ tulivyo wanafki wa kutupwa.
 
Habari Wana JamiiForums.

Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na demokrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.

Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania, nimeona matokeo ya mtihani wa Kidato Cha Nne, matokeo ni hivyo.

Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA

Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA. Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI?

Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.
Duh..
 
Duh! Tunaongozwa na vilaza kweli.
Na hili ndio moja ya tatizo letu kama taifa, kiongozi anapaswa kuwa mtu bright awe na maono ya kuonesha raia wa kawaida way foward...atoe best solution ktk changamoto mbalimbali.

Awe na maarifa mapana, kiongozi anapozidiwa maono na raia wa kawaida huo ni mzigo...hafai.
Bahati mbaya mfumo wetu wa kupata viongozi ni wa hovyo sana...tunayo mizigo mingi wala sio Nape pekee!!!.
 
Yani ujaji mtu 100% kwa ajili cheti au ya matokeo ya form four?? Huu ni moja ya ujingaa
Hujajibu kitu, elimu inamfanya mtu awe good reasoning, anajua namna ya kuongea, na ku behave in acceptable manner as public figure.
Inaoneka wewe hujui/function of education.

Toka hapa nenda Facebook kacheze, hili sio eneo lako ndo maana unashindwa ku intergrate education na behavior ya mtu.
Pole SANA
 
Kumbe akile huna, unadhani hao wenye A zote ndo wanabehave in acceptable manner?? Unaweza ukawa na cheti kizuri lakin social skills, communication skills na zinginezo ukawa hunaa,
Kwa iyo unatuambia hapa function ya education oli mtu Awe publc figure hii ni mtu mwenye kuwa na vyeti vizur haimaanishi umeelimika
 
Huwezi kwenda shule ukawa vizuri sana ukawa hovyo, MATOKEO ovyo, application of education in real life context inakuwa hovyo, due to poor achieved foundation in academic perspective.

Nafikiri umenielewa shangazi yake CHURA 🐸🐸🐸 KIZIWI 😅🤣🤣
 
Kumbe akile huna, unadhani hao wenye A zote ndo wanabehave in acceptable manner?? Unaweza ukawa na cheti kizuri lakin social skills, communication skills na zinginezo ukawa hunaa,
Kwa iyo unatuambia hapa function ya education oli mtu Awe publc figure hii ni mtu mwenye kuwa na vyeti vizur haimaanishi umeelimika
Aksante kwa Matusi, tusi lako anastahili aliyezaa NGURUWE isiyo jitambua🤣😅🤣😅
 
Back
Top Bottom