Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
Kwa tuliosoma vyema Saikolojia pamoja na Communication ukimuangalia tu alivyo na aongeavyo utajua ni mtupu!!!!Habari Wanajamii Forum.
Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na democrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.
Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania,nimeona matokeo ya mtihani wa kidato Cha nne, matokeo ni hivyo.
Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA
Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA ....INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA .....Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI??
Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.
Ndo hivyo jamaa ana A Plus lakini zilizofunguka!!!😅😅Duh! Tunaongozwa na vilaza kweli.
Nenda Baraza,NECTA,Mtu abapata phy D chem D bios D halaf F ya math😒😒 haya pia ni ya uongo
B/MATH haina plan B kama hayo mengine hivyo matokeo hayo yanawezekana tuu kuyapataMtu abapata phy D chem D bios D halaf F ya math😒😒 haya pia ni ya uongo
Usishangae hizo D ni ndondokela, alikuwa alikuwa anaelekea kupata A Zilizofunguka.Mtu abapata phy D chem D bios D halaf F ya math😒😒 haya pia ni ya uongo
Pamoja sana Talented,fella, charismatic, Game changer kwa input 🙏🙏Kwa tuliosoma vyema Saikolojia pamoja na Communication ukimuangalia tu alivyo na aongeavyo utajua ni mtupu!!!!
Halafu anapewa uongozi kwenye wizara nyeti, hii ni dharau kubwa kwa wananchi, lakini haya matokeo yanaidhalilisha mamlaka ya uteuzi na kuudhihirishia umma na dunia nzima kuwa mamlaka iko kwenye mbelekoHabari Wanajamii Forum.
Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na democrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.
Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania,nimeona matokeo ya mtihani wa kidato Cha nne, matokeo ni hivyo.
Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA
Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA ....INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA .....Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI??
Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.
Kule nani ufundi wa kubwabwaja tu over, wabunge wenye merits ma intellectual, kibao wako benchHalafu anapewa uongozi kwenye wizara nyeti, hii ni dharau kubwa kwa wananchi, lakini haya matokeo yanaidhalilisha mamlaka ya uteuzi na kuudhihirishia umma na dunia nzima kuwa mamlaka iko kwenye mbeleko
Wateuzi wamewaona watanzania wote ni kenge ndiyo maana wanafanya mambo ya hovyoKule nani ufundi wa kubwabwaja tu over, wabunge wenye merits ma intellectual, kibao wako bench
Ifike mezani kwa Lucas MwashambwaHabari Wana JamiiForums.
Kauli tata inayodharau wapiga kura na mchakato wa kupiga kura,uchaguzi na demokrasia naona una uhusiano mkubwa na matokeo ya Mitihani.
Nilitembelea Data base ya Baraza la mitihani Tanzania, nimeona matokeo ya mtihani wa Kidato Cha Nne, matokeo ni hivyo.
Somo la elimu ya URAIA Waziri kapata A ILIYO FUNGUKA, na English pia A ILIYOFUNGUKA ,HESABU A ILIYOFUNGUKA
Ninaomba maoni yenu nijue kama GOLI LA MKONO, NA INATEGEMEA ANAYEHESABU KURA. Ina uhusiano na matokeo yake ya mtihani na uwezo wake SHULENI?
Nandagala ONE ,safarini Mbekenyera-Ruangwa.
Vua nguo tembea UCHI, maana suruali na shirt wameleta wazunguKila mtu kapanngiwa riziki yake , acheni kujiona mnajua elimu ya kuletwa tu na wzungu ...Elimu inaleta utengano kila mtu na uwezo wake acha apate riziki
Mimi binafsi nampongeza Sana NAPE Kwa kusema ukweliKila mtu kapanngiwa riziki yake , acheni kujiona mnajua elimu ya kuletwa tu na wzungu ...Elimu inaleta utengano kila mtu na uwezo wake acha apate riziki
Kasema ukweli namna wanavyoiba kura, kaivua nguo SerikaliMimi binafsi nampongeza Sana NAPE Kwa kusema ukweli