GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Leo ngoja nikae kimya tu hapa ili nizisome Comments zenu kutokana na Mada husika ili nami pia nijijue nipo upande upi.
Narurally intelligent with experienceLeo ngoja nikae kimya tu hapa ili nizisome Comments zenu kutokana na Mada husika ili nami pia nijijue nipo upande upi.
Hawa wasomi unaowataja ndio wale ambao kuuza mlima Kilimanjaro au mbuga ya loliondo ni kama kutema mate.AKILI ZA KUZALIWA HUAMBATANA NA HEKIMA.Kuwa na akili nyingi za kuzaliwa bila kuongezea academics ni useless. Unaishia kuwa fundi mzuri.
Imagine Mel. Nyerere asingesoma, akili zake zingetusaidia nini?
Hawa wazee wa Pwani, wakina Sykes na wenzao probably walikuwa na akili nyingi kuliko hata mwalimu, lakini elimu ilimpa mwalimu 'tools' za kuleta real impact kwenye jamii.
Hivyo, bora kuwa na wasomi, hata kama hawana akili nyingi za kuzaliwa nazo kuliko kuwa na watu kibao wenye akili za kuzaliwa ila si wasomi.
Usiwahesabie wanasiasa mkuu. Wale watu ni vichaa..Hawa wasomi unaowataja ndio wale ambao kuuza mlima Kilimanjaro au mbuga ya loliondo ni kama kutema mate.AKILI ZA KUZALIWA HUAMBATANA NA HEKIMA.