Opticf Member Joined Oct 4, 2012 Posts 62 Reaction score 4 Oct 17, 2012 #1 Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?
Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Oct 17, 2012 #2 Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi.
Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi.
M MMOJA JF-Expert Member Joined Aug 30, 2012 Posts 445 Reaction score 259 Oct 17, 2012 #3 Opticf said: Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap? Click to expand... Swali kama hili,hapa sio mahala pake,hii ni safu ya kazi na tenda
Opticf said: Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap? Click to expand... Swali kama hili,hapa sio mahala pake,hii ni safu ya kazi na tenda
angedizzle JF-Expert Member Joined Aug 8, 2011 Posts 590 Reaction score 504 Oct 19, 2012 #4 Lambardi said: Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi. Click to expand... mbona hujamwambia kama kila mwezi ana-chajiwa 10,000?????
Lambardi said: Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi. Click to expand... mbona hujamwambia kama kila mwezi ana-chajiwa 10,000?????
M Mtilytz Member Joined Oct 9, 2012 Posts 5 Reaction score 0 Oct 19, 2012 #5 Kweli jibu zuri sana hajawahi kutembelea bank hata moja? Kuna sehemu wameandika mapokezi may b hajui kusoma hata kiswahili!
Kweli jibu zuri sana hajawahi kutembelea bank hata moja? Kuna sehemu wameandika mapokezi may b hajui kusoma hata kiswahili!