Acc. Barclays bank

Acc. Barclays bank

Opticf

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
62
Reaction score
4
Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?
 
Barua mwajiri/mtendaji wa serikali za mtaa.(Salary slip kwa mfanyakazi)..picha 2,kianzio sh 10,000/ na kujaza form ya maombi.
 
Samahan wana jf hv requirements za kufungua acc. Bacrays bank ni zp na min. amount ya kufungulia ni sh. Ngap?

Swali kama hili,hapa sio mahala pake,hii ni safu ya kazi na tenda
 
Kweli jibu zuri sana hajawahi kutembelea bank hata moja? Kuna sehemu wameandika mapokezi may b hajui kusoma hata kiswahili!
 
Back
Top Bottom