Wakuu kuna kitu nimekuwa nikikifanya japo sina utaalamu nacho napokuwa mlimani(kupandisha) na kukiwa na kafoleni napendelea kuzuia gari na accelerator(kuliko brake/handbrake) maana naona ukitumia brake ukianza tena ku-accelerate lazima gari irudi nyuma ambapo ni risk sana kama wa nyuma kaweka distance ndogo.
Je ni kweli accelerator ina-act kama break mlimani?