Accelerator ni breki mlimani(kupandisha)

Accelerator ni breki mlimani(kupandisha)

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
471
Reaction score
495
Wakuu kuna kitu nimekuwa nikikifanya japo sina utaalamu nacho napokuwa mlimani(kupandisha) na kukiwa na kafoleni napendelea kuzuia gari na accelerator(kuliko brake/handbrake) maana naona ukitumia brake ukianza tena ku-accelerate lazima gari irudi nyuma ambapo ni risk sana kama wa nyuma kaweka distance ndogo.
Je ni kweli accelerator ina-act kama break mlimani?
 
Sina maelezo mazuri. Ila nakumbuka kusoma manual ya gari wakikataza kufanya hicho kitendo. Hiyo iliitwa "ENGINE STALLING"
 
Gari sio lazima irudi nyuma, fanya mazoezi zaidi utaweza hilo.
 
Back
Top Bottom