Accent iliyotumika kwenye 24 series ni ya wapi?

Accent iliyotumika kwenye 24 series ni ya wapi?

Sheillah Wala nisikuzonge Kama mronge! Nimekuzimikia kipenzi!.. nataka nikufanye wa enzi si tu tufanye mapenzi Bali tufanye ujenzi wa mapenzi ya kenzy na sheillar!.. wasemaje mahabuba mwenye vipini visivyoruba..?😉
maneno matamu kabisa mkuu, bila shaka ameshakufuata huko pm akupoze moyo
 
Sheillah Wala nisikuzonge Kama mronge! Nimekuzimikia kipenzi!.. nataka nikufanye wa enzi si tu tufanye mapenzi Bali tufanye ujenzi wa mapenzi ya kenzy na sheillar!.. wasemaje mahabuba mwenye vipini visivyoruba..?[emoji6]
Akichomoa hapa kaoge na maji ya magadi
 
Plot ya season 1 (day one) si imesetiwa California mkuu au english yao ndio imefanya usiwaelewe. Kidogo huku day 4 ndio kuna Arabic accent za behrouz Araz na familia yake.
Umekutana na accent ya Gru??[emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha ha ha eti Gru
 
Ha ha ha ha ha eti Gru
Napenda sana lafudhi yake
1602419789301.png
 
Hii sidhani kama ni accent ya America kabisa.
Kwa mara ya kwanza nahitaji subtitles kuelewa hii series.
It's kind of hard to judge ni accent ipi inatumika kwa sababu kwa show kama 24, yenye multiple nationalities characters, huwezi kusema wanatumia accent ipi!

What I mean ni kwamba, hata kama Actor ni Mmarekani lakini kama anacheza a Russian Character basi atatumia Russian Accent, kama anacheza a Briton character, basi atatumia British Accent, and so on!!

Mtu kama Jack, mkewe na mwanawe... wote ni wa-Canada! Ingawaje sina uhakika ikiwa kwenye maisha yao ya kawaida wanatumia Canadian Accent lakini kwenye 24 wanatumia American accent!
 
Niko season ya 7 day 4 nimeanza kuitazama huu mwezi wa nne sasa
 
Hivi money heist ndio wamepotea kabisa?
 
Hiv ulishawai angalia sleepy Hollow? Ukaona ichobod clane alivyo kuwa anaongea
Ah jamaa alifufuka baada ya miaka zaidi 100 kupita so akawa anaongea kingereza cha karne ya 18 cha kina sir George Washington of course nilikipenda , watu walikuwa wanamshangaa kweli.

Sent from my CPH2015 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom