we naona unamawazo ya mgando mpaka kichefuchefu........UJASIRIAMALI mtaji napata kwa BABA YAKO?????????
Nilishawahi kuchangia tread moja humu JF juu ya mshahara wa loan officer wa access bank lakini kuna wadau wakaniponda na kusema mshahara wao unafika hadi 1.2M.
Bora mwanzisha mada hii atawafumbua watu macho.
Wameniita j3 SIENDI!!!...kudadek pu***f kbsa...
Unajishebedua nini komaa na kazi au acha wengine waichukue siyo kupigapiga mashuzi tu!
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....
Pole mkuu ila kama vipi hauna deal nyingine vumilia huenda baada ya hapo ikitokea upenyo wa kazi hapo watakufikilia zaidi kuliko mtu mwingine kutoka nje...
Kwani unapata commission ngapi kwa kila mteja ukipata.., na hio buku kweli inatosha usafiri na issue za mchana kama vipi ongea nao kwamba usiwe unareport kila siku ofisini bali unafanya nao kazi kwa kuwaletea wateja yaani unareport direct huko unapowatafuta wateja.., hizo buku buku wakuwekee ikifika mwisho wa mwezi unazifata

Wale Access si wanafanya kazi mpaka Jumamosi kwahiyo ni siku 6 kwa wiki mara wiki 4 katika mwezi ni siku 24 (24 X 1000) = 24,000/=Tsh.
Kwahiyo apige kazi mwisho wa mwezi akachukue mshahara wake Tshs 24,000/= ? ndiyo unachomshauri?
Hakuna kitu kama hicho, huo ni ubabaishaji tuuvumilia kidogo labda ni jaribio kuona kama kweli unataka kuwa nao, yaani chukulia kama ni kuonjeshwa kazi zingine as hakuna baya hapo. baadae utaanza ulicho saini. jitahidi ufanye vizuri.
"Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi....."
Au mie sijaelewa? sio kama analipwa 1000 kwa siku na 150,000 kwa mwenzi?