pole sana.., firms nyingi zinapata super normal profits lakn wanalipa mishahara midogo sana.., hii inatokana na sera mbovu za ajira na uwekezaji..,
Mbna huko kwao mwajiri anawekewa kima cha chini cha salary per hour.., kwa us,uk et al,, mtu hata awe mpiga deki,, kipato anachopata kinamtosha kuishi comfortable kabisa,,
Dogo usipoangalia utajikuta unafanya kazi na bado unaomba pesa za matumizi kwa wazazi au ndugu zako..,
Haya mabenki yanatengeneza mafaida ya ajabu.., interest rates zao zpo juu hatari,, watu wanaogopa ku-risk kukopa.., huko kwny micro-financers ndo hatari.., interest
zinafika hadi 100%..., serikali imekaa tu inaangalia sekta hii ya finance ikiwaibia wananchi mchana kweupe.., huu ni wizi,,
eti biashara huria..., biashara huria bila customer protection policies, ni sawa na
ujambazi tu...,