Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Mar 20, 2026 #1 Kwanza sijui nani alimpa namba yangu. Nahisi HR aliuza mechi. Okay sawa. Anatuma msg nyingi nyingi na hazipo ki professional kabisa. Tena kwa namna tofauti tofauti, sasa inapelekea tuhisi ni matapeli.
Kwanza sijui nani alimpa namba yangu. Nahisi HR aliuza mechi. Okay sawa. Anatuma msg nyingi nyingi na hazipo ki professional kabisa. Tena kwa namna tofauti tofauti, sasa inapelekea tuhisi ni matapeli.
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,030 Reaction score 61,298 Mar 20, 2026 #2 Bank kubwa kaka hii inafanya mambo kama vile ki microcredit
Mwalimu wa tuisheni JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 8,797 Reaction score 15,762 Mar 20, 2026 #3 Mlitaka afanye nini wakati ndo majukumu yake
Dudukwe JF-Expert Member Joined Jun 16, 2022 Posts 335 Reaction score 583 Mar 20, 2026 #4 ndege JOHN said: Bank kubwa kaka hii inafanya mambo kama vile ki microcredit Click to expand... Wanacompete na kila Bayport na Fanikiwa
ndege JOHN said: Bank kubwa kaka hii inafanya mambo kama vile ki microcredit Click to expand... Wanacompete na kila Bayport na Fanikiwa