Access Bank Tanzania yauzwa, sasa kujulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'

Watu tulipoenda bank tulikutana
Na minyoronyoro na makufuli 😄
Kuna wazee walizimia aise 😄

Ova

Wazee itakuwa waliweka 'Life Savings' zao hapo.. Ujana wa kuzitafuta upya umeondoka na akiba waliyoweka kwa jasho na damu wameondoka nayo 😀 Ila dunia ya kibepari hii, hamna anayemjali mwenzie..
 
Yah yule mzee aliweka life saving
Nakumbuka Alizimia akakimbizwa
Hindu Mandal....

Ova
 
Back
Top Bottom