Access Bank Tanzania yauzwa, sasa kujulikana kama 'Selcom Microfinance Bank'

Kitambo sana tulikulaga za uso
Ile benki iliyokuwa inaitwa meridian biao, vipesa vyetu vilipotea mpaka leo ikawa historia
Nikafungua pia ac benki ya Green land bank nayo ikatokeaga mauzauza

Ova
Mkuu unapenda benki ndogondogoπŸ˜€ Au hupendi foleni za CRDB na NMB..!
 
Watu tulipoenda bank tulikutana
Na minyoronyoro na makufuli πŸ˜„
Kuna wazee walizimia aise πŸ˜„

Ova

Wazee itakuwa waliweka 'Life Savings' zao hapo.. Ujana wa kuzitafuta upya umeondoka na akiba waliyoweka kwa jasho na damu wameondoka nayo πŸ˜€ Ila dunia ya kibepari hii, hamna anayemjali mwenzie..
 
Wazee itakuwa waliweka 'Life Savings' zao hapo.. Ujana wa kuzitafuta upya umeondoka na akiba waliyoweka kwa jasho na damu wameondoka nayo πŸ˜€ Ila dunia ya kibepari hii, hamna anayemjali mwenzie..
Yah yule mzee aliweka life saving
Nakumbuka Alizimia akakimbizwa
Hindu Mandal....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…