Je? unajua kwa upande mmoja hilo linaweza kuashiria nini? Ni kwamba deposits zao zimeshuka na hivyo wanajitahidi kuzipandisha. Na bank bila ya kuwa na deposits za kutosha haiwezi kukopesha kwa watu binafsi wala treasury bonds. Kwa maana nyingine bank haifanyi biashara. Yaani kama tu kusema hata usalama wa pesa zako kwenye bank hiyo ni mdogo na hata usalama wa wafanyakazi kwenye bank hiyo ni mdogo pia. Na hali ikiendelea hivyo basi itawabidi kuuza hisa ili kujinusuru WASIFILISIKE.